President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,721
- 94,415
So tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000According to Kunyarendans hapa tatu city tayar kumeshawekezwa $3 billion 👇🏾View attachment 3446099🤣🤣🤣🤣 huyu mbwa Teargass anasema hii tatu city is better than Dodoma city. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah hawa wa kunyarenda bhana.
Taja makampuni 15 tu.So tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000
🤣🤣🤣 you sound funny.. Heb ilete yote basi. 🤣🤣🤣So tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000
Wakati wanaanza nilijua Tatu City ni sawa na Runda au Northkand city kumbe ni SEZ.So tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000
kama inauma fanya kama unasogea mbele ichomoke sasa 😂😂😂😂Natumai unalipagwa kushare tweets. Hii nguvu yote
yani hua najiuliza sanaKwa mtu aliyeishi Nairobi. Akisikia tambo za wakenya. Atawaignore tu.
Dar es Salaam is so developed kuliko Nairobi hasa kwa upande wa Horizontal infrastracture
Ni vile tu sisi hakuna maphotographer wakutosha kupiga picha angle tofauti tofauti kama wanavyofanya wao.
Mji wao ni ndogo mno. Ukisikia making kama Westlands sijui Kilimani unaweza fikiri ni madistrict makubwa labda kama unavyoona Kinondoni kumbe ni mitaa tu size ya kata.
Ndo maana picha za Dar zikipostiwa mitandaoni Africans wanashtuka.
Tazama comments kwenye hii post wengi wanakataa sio Dar. Na ni mitaa mitatu ya Posta.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100091513781510/posts/692196820507438/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Ndio maana mji umejaa FLYOVERS, BYPASS, HIGHWAYS, na UNDERPASS lakini wapi??
Kilifi kuna umasikini wa kutisha. Ukitoa Mombasa CBD, Pwani ya Kenya kama Kilifi, Lamu, Malindi kuna umasikini wa kutisha vibaya sanakilifi just 20 km from mombasa CBD hali ndio hiii
View: https://x.com/sholard_mancity/status/1957689480984608809?s=46
Eti hawa nyang'au akina Teargass wanadai wametuacha miaka 50 kha!kilifi just 20 km from mombasa CBD hali ndio hiii
View: https://x.com/sholard_mancity/status/1957689480984608809?s=46
1. UniliverTaja makampuni 15 tu.
Unafahamu X hulipana? Uskue ngombe ukalie talantakama inauma fanya kama unasogea mbele ichomoke sasa 😂😂😂😂