Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyans sijui wata acha ushamba wa kingereza kingi kwamba ndio ujanja lini..

Hapa CMA wameleta Kilima Maritime Service Bongo. More ships..more routes..Messina pia wana shift from Mombasa to Dar.

Hizo kelele za maneno matupu bila ushahidi ni uzwazwa tu. Tupo kwenye information age Sasa hivi...kila kitu unakipata chap tu sio kama zamani... Hii kuwekeza kwenye propaganda za online ni kupoteza muda na resources tu.
Mambo yote kwa ground....ndio maana kunyans are now bitter kuona namna Bongo inasonga mbele bila kelele.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ matajiri wanataka kununua umeme tanzania kukwepa blackout

umeona sasa zile data za kupika vile zinafanya kazi hua munadanganywa muna umeme mwingi kuliko dunia nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunanunua ju tuna pesa due to higher demand.
 
Hahaha unauimia sana kuona berths zote tatu za Lamu Port ziko busy zinahudumia meli kubwa kubwa. 🀣🀣🀣
 
muna pesa gani na hua munadanganya hapa muna zalisha umeme mwingi kuliko east african countries umeona vile data za kupika vile zinawaumbua sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Demand yenu ya umeme ni ngapi? Kama imeshinda Kenya nafunga hii account. 🀣🀣
 
unafkiri kwann tunazalisha umeme mwingi zaidi kuliko nchi yoyote east africa unajua sababu?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha maneno mengi, weka demand hapa, kama imeshinda ya Kenya nafunga hii account.
 
Wacha maneno mengi, weka demand hapa, kama imeshinda ya Kenya nafunga hii account.
ikiwa tanzania ni kubwa mara mbili zaidi ya kenya na still nchi nzima umeme umefika heheh na bado tunasambaza umeme kila kijiji kila kona ya nchi hiii

mpaka nov 2024 tulikua matumizi ya 1900MW

na hvi sasa 2025 tunazalisha 4000MW
 
ikiwa tanzania ni kubwa mara mbili zaidi ya kenya na still nchi nzima umeme umefika heheh na bado tunasambaza umeme kila kijiji kila kona ya nchi hiii

mpaka nov 2024 tulikua matumizi ya 1900MW
View attachment 3445663
Kumbe hutaki nifunge account. 🀣🀣 Your demand is less than Kenya's, Sasa ulikua unaropokwa nini nikikuambia Kenya ina higher demand na inaendelea kuongezeka.
 
Kumbe hutaki nifunge account. 🀣🀣 Your demand is less than Kenya's, Sasa ulikua unaropokwa nini nikikuambia Kenya ina higher demand na inaendelea kuongezeka.
less with what ikiwa demand ya kenya 2025 ni 2100MW na mm nimekupa demand ya 2024 what about mpaka sasa itakua ngapi na sisi ndio tunaongoza africa kwa kusambaza umeme vijijini πŸ˜‚πŸ˜‚ unategemea demand itakua ni ile ile au???

sisi hua hatu fake data mzeee
 
Bado unalialia tu, umeshindwa kuprove mukona a higher demand than Kenya. 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…