NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Yani anakuringia na picha za Nairobi anasema ni za kwao. π€£π€£π€£Bana hapo karibu Nextgen, hata sikua nimeona. π€£π€£π€£
mwambie atuoneshe hio airbus inayobeba 600 paseengers ππππ
Halafu nyang'au Teargass asivyokuwa na akili akarukia kabisa ha ha haπHuyo farmers ni mtanzania pure mgogo wa huko Dodoma
Kwa nini mnapenda Uongo na kujidanganya.
Tanzania fully Documentary YouTube hapa.
Kwanza mara ya kwanza citizen tv walidanganya ati grape farming in kenya lakin video anaonyesha central Tanzania.
View: https://youtu.be/CQdlC5gbKK8?si=cG45i7fA5BGN4K3k
Baada ya engagement na watu kumshtukia basi wakabadilisha title. Imagine media kubwa kama citizen. Ndo maana Magufuli alilambisha matako kipindi fulani.
Kenyas mnaitamani sana Tanzania basi tu hamna namna.
View: https://youtu.be/rCgahHyXTS0?si=Q926ie03sp1pFv2V
where is that 3b usd to be seen? πππ
Γcha ujinga
So hiyo inaprove nini bongolala? Mbna hatuwaoni hao followers wengi kwa uwanja angalau muache kuaibiasha EAView attachment 3444886View attachment 3444887wapenda mpira wanaosubiria ticket za bure kutoka kwa politicians na wavunja mageti ππππππ
Ungekua mwerevu si kufuata tu tweets za watu kama ngombe ungekua unajua mashabiki tu 27000 ndo waliruhusiwa hio game. Nyinyi hamjazuiwa, kuna game mlipewa tiketi 10000 za bure na bado hamkufikisha robo ya uwanjaticket zinauzwa kisiasa ππππ
yani mtu mmoja ananunua ticket zote alaf anagawa kwa watu wanaomkubali
View: https://x.com/fgaitho237/status/1957302229985034599?s=46
Anakaa kama dada wetu wa kaziπππ.Hivi ni ukosefu wa chakula au umasikini?
Miss Grand Kenya 2025 - Magdalene Takangiro
View attachment 3445183