Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Their is Kilimanjaro industrial park kigamboni. Under GSM
 
Umesahau UD Songo ya Mocambique ilitutoa hatua za awali? Umesahau msimu uliopita hatukuweza hata kufuzu champions league? Ranks za CAF hazina uhalisia na ndiyo mana Tp Mazembe unamkuta kwenye top ten licha ya kupotea mda mrefu, ndiyo mana zamalek yupo juu ya pyramids licha ya ubora wa pyramids kwa ss hapa Africa, CAF wanatumia takwimu za miaka mitano which is irrelevant.
 
Aliye uliza giza ni Teargass ndugu yako. Muulize. Lakini nashukuru kwa kuifananisha Dar na New York.
 
Mkuu rank za CAF hazina uhalisia, je ni kweli Simba tunaizidi Yanga kwa ubora kwa sasa?
Ligi ya ndani haikupi wewe ubora Africa itakupa ubora wa hapa ndani tuu maana unashindana na timu za ndani. Kama Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuangalia ligi ya ndani je utaweza kuniambia kuwa Mlandege ambaye ni bingwa wa Zanzibar ni bora kuliko Simba pia? Au bingwa wa Somalia, South Sudan au shelisheli ni bora kuliko Singida Big Stars au Azam?
 
Huyo huwa ni zero kama hizo zero kwenye Id yake.
TZ unaweza kuwa na pesa ila usilete vurugu kabisa, kwasababu unaweza kuamka huna kitu.

Manji alikuwa untouchable ila alikufa akiwa mpweke sana na kuzikwa ufukweni huko Marekani.

Kenya ukiwa na pesa, unatamba uwezavyo.

Wanaigeria,Wasomali wameteka mpaka Ikulu.
 
Yanga hizo point kazipata misimu miwili tu,na kama angefanikiwa kuingia robo msimu uliopita angekusanya point 12
 
Kwahiyo unataka kulinganisha matakata ya porini huko Naipori vs Oyster bay.? 🤣🤣🤣🤣 mtu anaeishi kando ya bahari + it’s 2-3 km from the city center alingane na mpumbavu wa Karen in the middle of no where (the so called Karen)? Hebu toa tongo tongo. 👇🏾Appartmet ya Oyster bay it’s supposed to be 4 times expensive than those ones in Karen due to their location. Usilinganishe machaka huko kwenu na miji iliyoendelea pumbavu. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…