Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ilebya kukwama kwamba ama kuna nyingine?
 
Something like this imeshinda tu watanzania kabisa.


View: https://x.com/kevo_atandi/status/1954494705271460279
matajiri wanatembea na miguu washapewa ticket za bure tayar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wameongozana kama makondoo
 
matajiri wanatembea na miguu washapewa ticket za bure tayar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wameongozana kama makondoo
Nyinyi mlishindwa kujaza Stadium even after serikali kuwanunulia tickets. Hakuna watu maskini kama watanzania πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
amepewa na nani ikiwa benjamin ilijengwa from scratch for 60m usd leo kasarani inafanyiwa renovation for 52m usd aloo sijapata kuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kweli ruto kawapatia nyinyi mbwa
Wewe utabaki kuwa mjinga milele. Sasa unataka kulinganisha pesa za 2005 na pesa za 2025? How much was cement in 2005 in comparison to 2025?

Wewe unakuanga mpumbavu Sana. Na hiyo Makwapa by the way mlizawadiwa, hakuna pesa yenu ilitumika hapo hata moja.
 
Nyinyi mlishindwa kujaza Stadium even after serikali kuwanunulia tickets. Hakuna watu maskini kama watanzania πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3437489
hio ni stadium ya 62k si ile yenu ya 48k na bado CAF hawataki ifike 48k wanawapa masharti ya 46k only coz hawaamini ujenzi wenu muda wowote stadium inaeza fumuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na bado ruto na politicians wananunua ticket kisiasa na kupewa watu ambao hawatokwenda kusema ruto must goπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…