Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe DC na wenyewe bado wanajenga barabara. Lakini ndugu vipi barabara hii hapa kwenye prism tower itajengwa lini?

Kuna tofauti ya Developing Countrg na Developed Country.
Kabla ya hii mambo ya developing what-have-yous,, countries were grouped into First World, 2nd World, 3rd World... later changed into Developed Countries, Countries in Transition, Developing Countries, Least Developed Countries.

Kenya = Developing Country, in category No. 3, in the new groupings, meaning it's a 3rd World Country..... I hope you understand when you add the suffix ~ing in a word.

Tz is a 4th World Country.
 
so today kibera is not the biggest slum in the world as you Tanzanians have always been saging here?! Halafu imekuaje tena leo haina watu 2.5 million as you have always said here on jf? aje tena leo ina watu 700,000? mtashangaa sana!
Oh!! Umenikumbusha kweli. Asante kwa kunikumbusha. Habari yenyewe hii hapa:-




 
Umeandika kwa ajili yako sijaeleweka. Umekula lakini?
 
Tena kaandika SE9 , Moja ya Member na Mod wa skyscapercity anayejielewa toka hata member wengine kujiunga na SSC mwaka 2005, Hivyo hiyo ni solid info na TIMES Tower ni 28 fls Confirmed.
nwatanzania ni washenzi wa kupindukia. even if we leave out the issue of number of floors, Times Towers is a very recent buding whose construction finished in 2001. so hiyo story ya 1974 sijui iantoka wapi. secondly, times tower doesn't have a helipad. ONLY KICC has a helipad and a viewing area.
 

Mnaongea sana nyinyi, nyondo tuu lakini hamna cha kuonesha...
 
montave na pinnacle bado wanatafuta gas na mafutaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukweli wa Dar slum kuwa a big slum unadhihirishwa na the number of buildings above 20 floors being only 13 in number
 
Ukweli wa Dar slum kuwa a big slum unadhihirishwa na the number of buildings above 20 floors being only 13 in number
yamaanisha hawa wazungu walikua wajingaπŸ˜€
wanaionea sana nairobiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…