Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania hizi ni aibu gani surely? 50 bob Tu inawashinda kupata?😂😂😂

Your national team is playing and the stadium is empty as if there's nothing happening there.

 
Yani hata baada ya watu 10,000 kuingia bure bado mkapa ni half empty na ni team ya nyumbani inacheza



Meanwhile kenya mashabiki wanastruggle hata kununua tiketi. Mechi mbili za kenya zifuatazo tickets zishaisha tyari

Watanzania ni domo domo tu wanajua
 
Hawana shillingi hamsini. 🤣 🤣 🤣 Poverty is bad.


View: https://x.com/ItsKubasu/status/1953139271088411007
TZ mpira upo kwenye damu,ndio maana miaka karibia 10 cecafa cup inaandaliwa TZ tu,muulize musonye mkunya mwenzio,khs wakundunya kujaza uwanja hii chan,mkundunya anapenda camera,yan mkundunya akiiona camera anachanganyikiwa ndio maana hata yale maandamano yenu ufanya vile ili tu waonekane duniani huko
 
Minyang'au inaumia kweli kweli, iangalie matokeo sasa😁
 
Hiyo ripoti yenyewe ya wb hajakamilika.
Pia unaleta ripoti ya 2022.
Nchi zingine zimeansdikiwa ripoti ya 2021 zingine ripoti ya 2020.
Halafu zote zikawekwa ndani ya ripoti moja.
Uko serious kweli!?
Aya tutajie hizo slums za Tanzania?
 
Data cookers know how to massage your ego
Tena walivyokua wapuuzi hizo ni data za 2020 zingine ni 2022 zingine 2021.
Sasa unajiuliza unachukuaje data za miaka tofauti ukaziweka kuwa data za mwaka mmoja!?
Hapa ndipo utaona akili za Kenya hazina akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…