Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa anasema yuko HIGH DEMAND sana Kenya.

Dada zenu mpaka nyie mnataka awapige miti.

Halafu ni Kinyozi tu huko US na Youtuber.
So amedanganya kama nyinyi mlivyo?.., FACT PAINS 🀣🀣🀣🀣🀣.
 
So, you live in Mabati because there is no temperature ni Nairobi??
Kuna place hakuna temperature in this world?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Maybe hujui temperature ni nini, please can you define temperature.
 
Kwa hizi akili zako za kiboya ukiona hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ taarifa ya South Africa kushindwa kulipa workers wa Municipalities utajidanganya eti Tanzania ni Bora zaidi ya SA the current Africa's biggest economy.., jaribu kujifunza mambo ya finance angalau kidogo.., sio kukurupuka kishamba🀣🀣🀣🀣🀣.,

Tanzania imeizidi SA🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

uko tayar kufa njaa ili kuficha aibu yako
 
WB Wako sahihi, mbona liko wazi sana, ufukara wao haufichiki πŸ˜†, wageni wanafika wanaona maisha ilivyo na walivyo wenyewe wanasema Tanzania is backwards 30 years in comparison to Kenya.., 🀣🀣🀣🀣
 
Unabishana na World Bank. Huna hata aibu. 🀣🀣 70% among the top ten in the world.
 
kila sector kuna shida yani hakuna sehem wako stable na nimeskia wameanza kuingia kwenye njaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaijua Tanzania kweli wewe?.., just because information is hidden haimaniishi mko nafuu, mko hovyo ata kuliko Uganda.., your government controls information like North Korea.., matokeo ni muonekano ya maisha ya Watanzania.., uswazi 90%..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…