Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

City authorities za Nairobi kazi yao ni kula hela ya serikali tuu. At times you don't need alot of resources to maintain cleanness kwenye miji. Huku kwetu barabara zinafagiliwa kila siku kata kama hamna uchafu bali michanga iliyoingia barabarani na kwenye drainange channels hutolewa everyday.
 
That's Vingunguti and Kipawa.


SHow me any Mabati houses.
You want people to live in mabati houses, where the temperatures can't allow. Hizo nyumba zenu hata hua hazina madirisha za vioo ju wengi wenu can't afford AC's or fans. Another thing, mabati will rust faster at the coast due to high humidity and salty water, angalia mabati roofs zenu vile hua zimejaa kutu.

Sitakufunza kila kitu, jaribu ufike hata form 2, usiwachie shule darasa la Saba.
 
Mji umejaa chokoraa ule aki nikiwa huko huwa sitembei kwa mguu watanikaba tuu hawa nyangau. Misura yao kama yote inavuta bangi na kunusa gundi na inaonesha ishara ya maisha ya tabu sana.
 
So, you live in Mabati because there is no temperature ni Nairobi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…