Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apartments in Upperhill Nairobi
2unQtiHlrjMscZ0dpbVuR2yYjQOkTa70TfBj4duSlA_uwMHE4ZqDG5PKqBh1ARBZHElPA8x4zZhVUB7EHMEFVjeiXDjLgTOg44u4lvMU9uPN0h2jehT4YLi48tldPZWnpdPM7EhWB8of9f_tZWDLVMWlVOk7EOFb5CwO4ecFlGEbEQBvrQE6NBwhh1ZUE6Qa7YSN_7PADNsMTgIKzm8LexfYWwcyxx00_r3YebwRJHO99BFzEL0plXNRT5SzO9AiAEDaZD0RMe0E4QCn9lOJAe14Mr31ZhhC8nqWZ5wjtiaEe7kyEGgJBY53G7RpQGyTY1c8gOtsB7KogtzgSyFs_V1E28IfGY-JuQ9ANVd0vdjTM3yJsMbNJPx_zKEkuhfijnqpa95-z5OzYRar29nEw5mFGlZT4KsdpLG5kYWXCuM0oZOjtYUk8kq0_as-ug7k1XicKAXcoXtjG2QTCYLlK4DQT7ThOvlE4K1Q4YJDrk-ZMa6DEQnLjQnDTLc8vnPoyzYuA4rhhoixRAfz-swtTb19DN4PicNLU4sXRaZ8akpPRZ1U_iDvgtfsL1kDz32NGG2glKscHcQp3pftYNWAe23RpUJwAE8a690Cb-K1xI6UeQPRWgjo=w1177-h662-no
 
porojo tu. three quarter ya meetings zote za Africa hufanyika KICC or cape town.
Leo IGAD conference ilifanyika
Perhaps the marketing guys at jnicc should do more and capture the international markets for conferences...
 
Nitaelewaje mtu mwenye akili taakhira kama wewe mwenye hujui picha ni nini??
Baada ya kuonesha magari utaanza kuonesha nguo za ndani za wakenya. Wewe twende kwenye kichapo. Tunawachapa kichapo cha mbwa mwizi.
 
Perhaps the marketing guys at jnicc should do more and capture the international markets for conferences...

KICC is in its own league in Africa, Rwanda build a conference center just a year ago, with beautiful modern aesthetics, but in functionality can't equal KICC just same as JICC
Amphitheatre
KICC-700x445.jpg

Ball Rooms
564a9a0ffddd736745808bb3a92d93b2.jpg

cb906b6e-38dc-45fe-8652-60b3ce7cdbd1.jpg

Outside the Tsavo Ballroom
kenyatta-international.jpg

Halls
meetingrooms.jpg

Rooms
3-flexiblility_.jpg

Hotels
01.jpg

05.jpg

The architecture used is world marvel
 
Si nilisema?? Mtu hawezi uliza, tayari umeonyesha huna akili razini!!
Nimekuambia kwamba kwa mtu mwenye akili timami atakuwa amenielewa. Likini kwa yule mwenye upepo kichwani ataanzisha ligi. Hivi kwa akili zako unaona kuna umuhimu wa kuleta picha ya gari kwa GT? Nakutaka unijibu haraka.
 
KICC is in its own league in Africa, Rwanda build a conference center just a year ago, with beautiful modern aesthetics, but in functionality can't equal KICC just same as JICC
Amphitheatre
KICC-700x445.jpg

Ball Rooms
564a9a0ffddd736745808bb3a92d93b2.jpg

cb906b6e-38dc-45fe-8652-60b3ce7cdbd1.jpg

Outside the Tsavo Ballroom
kenyatta-international.jpg

Halls
meetingrooms.jpg

Rooms
3-flexiblility_.jpg

Hotels
01.jpg

05.jpg

The architecture used is world marvel
You are right Kicc still tops compared to the rest but I bliv with the right marketing stratergy even Dar can compete, those conferences dont fall from the moon, having a well focoused marketing team will bring the conferences...
 
Nimekuambia kwamba kwa mtu mwenye akili timami atakuwa amenielewa. Likini kwa yule mwenye upepo kichwani ataanzisha ligi. Hivi kwa akili zako unaona kuna umuhimu wa kuleta picha ya gari kwa GT? Nakutaka unijibu haraka.

Macho yako yana taabu??? Nimeandika hapo juu, "Nairobi, a hustlers Paradise" Did you understand my caption??? Wajua acha kukurupuka, hiyo si ligi yako, angalia picha, soma kilichoandikwa elewa, weka yako, kama huna, jiendee kwa raha zako!!
 
Naona sasa umeanza kutoa povu. Povu la nini sasa!? Nieleze taratibu. Baada ya kupigwa za uso kisha kuangukia pua umeamua kuweka oicha za magari? Unataka ligi ya magari?
 
You are right Kicc still tops compared to the rest but I bliv with the right marketing stratergy even Dar can compete, those conferences dont fall from the moon, having a well focoused marketing team will bring the conferences...

Very true, Kenya does extensive lobbying, especially since Jubilee took over, they have made sure important global and regional conferences come to Kenya, this has seen hotels like Villa Rosa and the rest to benefit maximally from such conferences! 2016 Recorded the highest revenue in Conference Tourism
 
Nairobi haimo humu!!

Hilo nakubaliana nawe!! Kenya mara nyingi hatujazingatia ile uzuri wa nje. Wakenya wengi wanakasumba waliotoa kwa wakoloni. Hupenda majumba yanayojengwa kama castles, nyumba za ukuta wa saruji, Hata hivyo wakenya wameanza kubadilika na kuanza kuona kwamba watu wengine hupenda nyumba za vyoo, na zilizo na aesthetics nzuri ya nje, nyumba zinazojengwa sasa, nadhani ni za kimtindo huu wa vyoo.

Pia kulingana na mazingira, Tropics hazitakikani nyumba za vyoo sana, sababu ya jua na joto. Kenya watu huzingatia hili. Jumba la Le Mac, ametumia vyoo lakini kwa technologia ya juu sana.

Kwa hili Kenya itabidi tujaribu sana

Mfano wa mitindo ya kikoloni
uDU4iyT.jpg

12783219_591563394326123_2061753766_n.jpg
 
Naona sasa umeanza kutoa povu. Povu la nini sasa!? Nieleze taratibu. Baada ya kupigwa za uso kisha kuangukia pua umeamua kuweka oicha za magari? Unataka ligi ya magari?

Si povu, ni wewe unakurupuka kabla usome!! Hilo nilimaanisha, Nairobi, ni mji watu huhustle kisha wakapata pesa wakastarehe
 
Hilo nakubaliana nawe!! Kenya mara nyingi hatujazingatia ile uzuri wa nje. Wakenya wengi wanakasumba waliotoa kwa wakoloni. Hupenda majumba yanayojengwa kama castles, nyumba za ukuta wa saruji, Hata hivyo wakenya wameanza kubadilika na kuanza kuona kwamba watu wengine hupenda nyumba za vyoo, na zilizo na aesthetics nzuri ya nje, nyumba zinazojengwa sasa, nadhani ni za kimtindo huu wa vyoo.

Pia kulingana na mazingira, Tropics hazitakikani nyumba za vyoo sana, sababu ya jua na joto. Kenya watu huzingatia hili. Jumba la Le Mac, ametumia vyoo lakini kwa technologia ya juu sana.

Kwa hili Kenya itabidi tujaribu sana

Mfano wa mitindo ya kikoloni
uDU4iyT.jpg

12783219_591563394326123_2061753766_n.jpg
Inamaana nyumba za zamani hazina vyoo? Au unamaanisha vioo!?
 
Back
Top Bottom