concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,004
- 15,482
So leo hii lami na cabro zili ng'olewa? yaani hazipo kabisaaa.., tunaweka ukweli wa pipeline, uchafu ni transient (not permanent), leo ipo kesho unapata iliondolewa.., what of permanent change? infrastructure upgrade?.., boss najua akili zenu..,
Arusha airport ipi unazungumzia, ile ya zamani au hii mpya? Kama ni hii mpya ni kama unajifarji tu, hakuna airport nzr na portable Kenya nzima kama New Arusha airport.Ukaiona hiyo Arusha Airport kwa macho utacheka.😂😂
Hv hawa wanusa gundi kwnn wanaitaga hvyo?Chief achana nae utabishana vipi na mtu anayeita umeme steamer 😁 maana bado atakuambia umeme ni steamer hata mkibishana miaka 100🤣🤣🤣
Jibu swali hii picha ni ya leoBado leo hapo Kuna huo uchafu?.., Kisha kinganisha hizo nyumba na uswazi zenu..., taka taka ni transient., elewa hilo., na hapo ni ghetto pia..,
Pipeline ikija Dar na iwe safi itafanana kama upper middle class walai🤣🤣.,
Dunia ya Leo mnaishi hivi maisha ya kawaida, sio slums wala mashambani zile za tope na nyasi.,
View attachment 3432730
View attachment 3432731
View attachment 3432732
View attachment 3432733
FedhaPipeline iko vile vile.
Ila karibu na pipeline hapo, muna estates nyimgine hapo inaitwa Fedha, ndio hizi nyumba kwenye hii picha
Tena hapo sio Fedha. 🤣🤣Point yetu unaokota picha za zamani kuja kuzishoff
Inshort hakuna picha hata moja ya leo
Ujifunze kuwa updated acha kuokota picha za 2012 haha sasa hivi tupo mwaka 2025 , miaka 11 iliyopitaBado leo hapo Kuna huo uchafu?.., Kisha kinganisha hizo nyumba na uswazi zenu..., taka taka ni transient., elewa hilo., na hapo ni ghetto pia..,
Pipeline ikija Dar na iwe safi itafanana kama upper middle class walai🤣🤣.,
Dunia ya Leo mnaishi hivi maisha ya kawaida, sio slums wala mashambani zile za tope na nyasi.,
View attachment 3432730
View attachment 3432731
View attachment 3432732
View attachment 3432733
Haya mjuaji, ebu tuambie hapa ni wapi?Siyo kujifanya. Kimji cha dakika 20 nacho cha kutishia watu
Si mwenzako alisema hapo sio Pipeline, eti hapo ni Fedha? Sasa umekimbia kusearch ukapata ni Pipeline sasa mumeshift goal post eti munataka recent photo. Bongolala ni kama malaya, hawezi ridhishwa.Kwahiyo fedha inahusiana na picha ,unajaribu kumuokoa mwenzio🤣🤣🤣🤣
Hayo maeneo yote yashabomolewa kwa taarifa yakoUjifunze kuwa updated acha kuokota picha za 2012 haha sasa hivi tupo mwaka 2025 , miaka 11 iliyopita
View attachment 3432739
Haya maeneo yote yashapitiwa na tingatinga
Hakuna aliyesema hapo ni fedha leta evidence mwenzako ndo anajifanya kudanganya kuwa pipeline imesafishwa kwa kuleta picha za uongo. Ebu quote aliposema hapo ni fedha kwa picha alizoleta mwenzakoSi mwenzako alisema hapo sio Pipeline, eti hapo ni Fedha? Sasa umekimbia kusearch ukapata ni Pipeline sasa mumeshift goal post eti munataka recent photo. Bongolala ni kama malaya, hawezi ridhishwa.
Kwani nini imebadilika hapo leo hii infrastructure-wise?..,J
Jibu swali hii picha ni ya leo
View: https://x.com/CaptainOchenge/status/1489579403101327367?t=kN6IgakAYm9ce1vYOBhJRQ&s=19
Hii ni 13 years ago can you please stop using these outdated photos.?Bado leo hapo Kuna huo uchafu?.., Kisha linganisha hizo nyumba na uswazi zenu..., taka taka ni transient., elewa hilo., na hapo ni ghetto pia..,
Pipeline ikija Dar na iwe safi itafanana kama upper middle class walai🤣🤣.,
Dunia ya Leo mnaishi hivi maisha ya kawaida, sio slums wala mashambani zile za tope na nyasi.,
View attachment 3432730
View attachment 3432731
View attachment 3432732
View attachment 3432733
Hapa tunazungumzia uhalisia wa picha jibu kama hiyo ni picha ye leo.Kwani nini imebadilika hapo leo hii infrastructure-wise?..,
Kwahiyo sasa msimamo wako ni upi.? Mombasa ni bora kuliko Dar au Westlands ni bora kuliko Dar.? Mana ni kama Dar moja unajaribu kujilinganisha na kila aina ya ushuzi huko kunyarenda, choose your battles wisely. 😆Westlands now is above Dar CBD..,
Dar CBD (wanaita city center).,
View attachment 3432713
Westlands Business District 🔥🔥
View attachment 3432710
View attachment 3432711
Anaparamia Kila pichaHii ni 13 years ago can you please stop using these outdated photos.?
Nani alisema pipeline imesafishwa?.., nilipinga picha ya kilaza mwezako ambaye mnafanana ki fikra., eti pipeline ni ile ya barabara za matope, hakuna lami Wala cabro., nikaonyesha mabadiliko., Kisha nimekueleza taka taka kwa streets ni transient., leo ipo kesho haipo., depends na wakazi pale...,Hakuna aliyesema hapo ni fedha leta evidence mwenzako ndo anajifanya kudanganya kuwa pipeline imesafishwa kwa kuleta picha za uongo. Ebu quote aliposema hapo ni fedha kwa picha alizoleta mwenzako
Tena anaokota pica za miaka 13 iliyopitaKwahiyo sasa msimamo wako ni upi.? Mombasa ni bora kuliko Dar au Westlands ni bora kuliko Dar.? Mana ni kama Dar moja unajaribu kujilinganisha na kila aina ya ushuzi huko kunyarenda, choose your battles wisely. 😆