Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,096
- 5,519
Hizi mnamuuzia nani budaa wacha ukichaa, sisi za nini hizi na haziuziki.? Unataka kujua ni units ngapi zinauzwa huku bongo tunazounda wenyewe the likes of HOWO, FAW na zile vans za safari (Hanspaul.?).
Lakini hakuna mechi iliyowahi chezwa Kenya mkafikisha hata ksh 12mil ya gate fee Toka kuanzisha kwake ila sisi kina record ya mpaka ksh 30mil gate fee. Sasa kati ya sisi na nyinyi nani maskini kama gate revenue collection hamjawahi fikisha hata nusu ya tz ?🤣🤣🤣🤣Ukiwa maskini you got nothing to prove, hua inaonekana tu.
Wakimruhusu Bakhresa awekeze huko kwao tuna watawala hawa mbwa.
Ukiwa maskini you got nothing to prove, hua inaonekana tu.
| Nafasi | Mechi | Tarehe | Gate Revenue (KSh) | Watazamaji |
1 | Harambee Stars vs Gabon (WCQ) | Machi 24, 2025 | 6,498,000 | ~22,900 tiketi |
2 | Harambee Stars vs Ghana (AFCONQ) | Septemba 8, 2018 | 3,873,600 | 17,806 |
3 | Mashemeji Derby 2023 (AFC vs Gor) | Oktoba 9, 2023 | 2,838,300 | 12,172 |
4 | Shabana vs Murang’a Seal | Machi 30, 2025 | 1,803,900 | (takribani) |
5 | Shabana vs Tusker FC | Januari 11, 2025 | 1,058,800 | 5,000+ |
6 | Shabana vs KCB FC | Desemba 2024 | 1,015,000 | (takribani) |
7 | AFC Leopards vs Shabana | Oktoba 2023 | ~1,426,300 | (takribani) |
8 | Sofapaka vs AFC Leopards | Desemba 15, 2009 | 617,300 | (takribani) |
9 | Kenya vs Uganda (Friendly) | Juni 2023 | ~1,200,000 | (takribani) |
10 | Kenya vs Rwanda (AFCON qualifier) | Oktoba 2023 | ~900,000 | (takribani) |
| Nafasi | Mechi | Tarehe | Gate Revenue (TZS) | Makadirio (KSh) | Watazamaji |
1 | Yanga vs Simba | Machi 2025 | 545,000,000 | ≈ 30.28M | ~59,325 |
2 | Yanga vs Simba | Februari 2025 | 500,000,000 | ≈ 27.78M | ~57,406 |
3 | Yanga vs Simba | Januari 2025 | 436,000,000 | ≈ 24.22M | ~49,758 |
4 | Simba vs Yanga | Machi 2024 | 427,271,000 | ≈ 23.74M | ~49,542 |
5 | Simba vs Yanga | Desemba 2024 | 411,000,000 | ≈ 22.83M | ~53,569 |
6 | Simba vs Yanga | Januari 2024 | 376,000,000 | ≈ 20.89M | (takribani) |
7 | Simba vs Yanga | Novemba 2023 | 350,000,000 | ≈ 19.44M | (takribani) |
8 | Yanga vs Mbeya City | Juni 2024 | 100,000,000 | ≈ 5.56M | (takribani) |
9 | Yanga vs Mtibwa Sugar | Julai 2024 | 90,000,000* | ≈ 5.0M | (takribani) |
10 | Simba vs Mtibwa Sugar | Agosti 2024 | 85,000,000* | ≈ 4.7M | (takribani) |
Sasa utafananisha uswazi ya Dar na slum zenu za Kenya?
View: https://youtu.be/6rIV8TlrbLQ?si=ClaqEGkQXL3qye3z
Your source is tomato sauce, mtu wa kucopy and paste.Michezo 10 iliyowahi ingiza pesa nyingi baina ya Tanzania na Kenya
Kenya
Nafasi Mechi Tarehe Gate Revenue (KSh) Watazamaji 1Harambee Stars vs Gabon (WCQ) Machi 24, 2025 6,498,000 ~22,900 tiketi 2Harambee Stars vs Ghana (AFCONQ) Septemba 8, 2018 3,873,600 17,806 3Mashemeji Derby 2023 (AFC vs Gor) Oktoba 9, 2023 2,838,300 12,172 4Shabana vs Murang’a Seal Machi 30, 2025 1,803,900 (takribani) 5Shabana vs Tusker FC Januari 11, 2025 1,058,800 5,000+ 6Shabana vs KCB FC Desemba 2024 1,015,000 (takribani) 7AFC Leopards vs Shabana Oktoba 2023 ~1,426,300 (takribani) 8Sofapaka vs AFC Leopards Desemba 15, 2009 617,300 (takribani) 9Kenya vs Uganda (Friendly) Juni 2023 ~1,200,000 (takribani) 10Kenya vs Rwanda (AFCON qualifier) Oktoba 2023 ~900,000 (takribani)
Versus
Tanzania 🤣🤣🤣🤣
Nafasi Mechi Tarehe Gate Revenue (TZS) Makadirio (KSh) Watazamaji 1Yanga vs Simba Machi 2025 545,000,000 ≈ 30.28M ~59,325 2Yanga vs Simba Februari 2025 500,000,000 ≈ 27.78M ~57,406 3Yanga vs Simba Januari 2025 436,000,000 ≈ 24.22M ~49,758 4Simba vs Yanga Machi 2024 427,271,000 ≈ 23.74M ~49,542 5Simba vs Yanga Desemba 2024 411,000,000 ≈ 22.83M ~53,569 6Simba vs Yanga Januari 2024 376,000,000 ≈ 20.89M (takribani) 7Simba vs Yanga Novemba 2023 350,000,000 ≈ 19.44M (takribani) 8Yanga vs Mbeya City Juni 2024 100,000,000 ≈ 5.56M (takribani) 9Yanga vs Mtibwa Sugar Julai 2024 90,000,000* ≈ 5.0M (takribani) 10Simba vs Mtibwa Sugar Agosti 2024 85,000,000* ≈ 4.7M (takribani)
Leta yako sasa uliyoiandaa.Your source is tomato sauce, mtu wa kucopy and paste.
Kwanza nikuongezee the highest ambayo mshawahi pata kwa gate fee , hamjawahi vuka hapo🤣🤣🤣🤣🤣Your source is tomato sauce, mtu wa kucopy and paste.
Munaletea Jumuiya aibu with your empty stadium. Yani bila Simba na Yanga hakuna cha maana huko bongoslum.Leta yako sasa uliyoiandaa.
Mimi nimecopy na kupaste leta yako yenye uhalisia ambayo mshawahi hata fikisha gate fee ya 10mil
Empty with the highest revenue collection ambayo nyinyi hata alipie ruto zote hamuwezi fikisha hata nusu ya revenue ya tzMunaletea Jumuiya aibu with your empty stadium. Yani bila Simba na Yanga hakuna cha maana huko bongoslum.
The highest revenue collection on Kenyan football ni 7.3mil almost tsh 148mil Tena mechi kubwa baina ya gor mahia versus afc leopards , hiyo ikicheza simba na yanga ni mara tatu yake akicheza Azam na singida labda kidogo ndo atalingana na hii yenu🤣🤣🤣🤣Munaletea Jumuiya aibu with your empty stadium. Yani bila Simba na Yanga hakuna cha maana huko bongoslum.
Aman satdium is currently empty. Nyinyi ni aibu tu mumetuletea.Empty with the highest revenue collection ambayo nyinyi hata alipie ruto zote hamuwezi fikisha hata nusu ya revenue ya tz
Why is Aman stadium empty? Hamna hamsini ya kuwatch game?The highest revenue collection on Kenyan football ni 7.3mil almost tsh 148mil Tena mechi kubwa baina ya gor mahia versus afc leopards , hiyo ikicheza simba na yanga ni mara tatu yake akicheza Azam na singida labda kidogo ndo atalingana na hii yenu🤣🤣🤣🤣
There is no city outside Dar that can compete Kisumu. That's a bitter fact that you will be forced to swallow.Huu ndio uchafu wa mji mnaopigia kelele humu eti Kisumu City! Does a city look like that? 👆
There is no city outside Dar that can compete Kisumu. That's a bitter fact that you will be forced to swallow.
Na google earth je?Picha kama hizi ukimuonesha Mkenya ambaye hajawahi kutoka Kenya, anapata FARAJA kubwa sana.
How does this relate to Kisumu being better than all Cities in Tanzania apart from Dar?
Sasa unadhani sisi hatuna kazi za kufanya mpaka Kila timu tukashabikie hat kama haituhusu.Aman satdium is currently empty. Nyinyi ni aibu tu mumetuletea.