Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baaada ya kurekebishwa ndo ukaja jua kuwa ni product uzuri post Zina namba.
Post ulivyosema ni product ni 609,786
Baada ya kukoselewa ukabidili usemi kuwa ni product kwa post na 609,789

Ukiangalia mtiririkk wa post zako za nyuma ilikuwa umeshikiria kuwa skd ni product kabla ya kukosolewa🤣🤣🤣🤣
 
Post ya kukosolewa nayo ni number ngapi? Hakuna mahali umenikosoa.
 
Hawa watu ni wa kuwaonea huruma, wachache wanaojitambua wako kimya sana
Embu tizama kama hiyo argument.
Kuna jamaa alisema simple tu kuwa TZ kiingereza ni second language na kinazungumzwa sana pia.
Embu tizama wakenya walivyomshambulia.
Eeeh mie kutoa majibu na mie nashambuliwa!
Kosa kumsifia Tulia Ackson.
Nilitukaniwa hadi babaangu😂😂
 
50% of Nairobi's population are living in slums, not even middle income areas. Uswazi za Tanzania ni middle income areas huko Kenya, but slums in Kenya ni something else. Who thought that palces like Kibera and Mathare exist in this world. Lol
Kama hii ndio middle income then 90% of Nairobi is wealthy. The remaining 10% is middle income.
 
Unaandika vitu vingi ulivyogoogle ukacopypaste mtandaoni ndio uonekana una ufahamu yet hamna kitu cha maana unachosema.
 
Demand yenu bado ni 1300MW.


NATIONAL ENERGY COMPACT FOR UNITED REPUBLIC ...​


World Bank
https://thedocs.worldbank.org › doc › original


PDF

Maximum electricity demand reached 1,888.72 MW on November 26, 2024, up. 14.9 percent from the peak in 2023. Given expected demand growth of 5 to 10 percent ...
 
Ukitaka uone utofauti wa Kenya na Tanzania nenda YouTube halafu search "Slums in Tanzania" halafu ukishamaliza search "slums in Kenya" ujionee mwenyewe 😂😂😂😂

Hapo ndio utaelewa kwa nini tunasema Kenya ni masikini kuliko Tz despite having high fake GDP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…