Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Problem is not the domestic flight. Shida ni kwamba watanzania hawana pesa ya kupanda ndege. JNIA served 1.4M domestic passengers last year, that's lower than what Kisumu airport did last year at 1.6M with only two destinations (Nairobi & Mombasa)
Mnuka ****** unajitia vidole unanusa unacheka. 🀣🀣🀣
 
Kimejengwa bagamoyo sehemu gani mkuu
engwa
 
Mombasa inazidi Arusha na Mwanza idadi ya ghorofa tu basi. Hamna kingine cha maana huko Mombasa
Mombasa inaizidi Dar wacha kutaja vijiji chakavu humu..., ndio maana omba omba, vijakazi kutoka Tanzania wamejazana huku.., kuna hela, middle class population ni kubwa.., Tanzania Dar ndio jiji pekee la watu kukimbilia kutafuta..,

CFAO Assembly line, Mombasa




AVA Assembly line Mombasa




Mombasa fixing Tanzanian boats.., among others..


Mombasa



 
Kama utapima maendeleo ya mji kwa viwanda then Pwani region is by far more developed than Mombasa. Btw hii mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🀣🀣🀣
 
So alikua politician? ni wa wapi? ama no governor na hatujui?., ama MP?..., eti nyuma yake, stop looking at Kenya through Tanzanian poverty lenses.., yaani una project matatizo ya Tanzania kwa Kenya., wacha kujisema, fyata unatia aibu hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…