Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enyewe pumbavu ni pumbavu tu hawezi kusaidika. Gari zote hua zinatengenezwa kwa kitu inaitwa an assembly line. Kama hukuwai jua, basi umejua leo. Hizo parts unataja, chassis, engine, body frame, hua zinakusanywa zote from diferent car parts manufactures alafu zinaletwa kwa an assembly line line. Hapo ndio zinaunganishwa inakua gari. Haijalishi kama assembly line inatumia robots ama watu, the process remains the same.

Gari kama Toyota Supra 5, engine inakua designed by BMW lakini manufacturing na assembly inafanywa na Magna Steyr, ambao wamespecialize kutengeneza different car parts na bado wanafanya full assembly on behalf of established car brands kama Toyota.

Kwa hivyo usidhani Toyota hawezi kuagiza parts from other car brands ama third party manufacturer, Toyota ni kampuni kubwa sana na hawawezi tengeneza magari zao zote in house. Kuna zile wanaunda wenyewe, zingine wanapea third party manufacturers kama Magna Steyr na zingine wanasource parts wenyewe alafu wanapea CKD assemblers kama AVA.
 
So Lamu has already handled a larger ship than the largest Darislum has ever handled yet we are being told Lamu is a white elephant? ๐Ÿคฃ
Lamu has no rival in this region, it's a proper deep sea port meant for handling bigger cargo ships. Bongolalas number washaisoma, nakumbuka wakicheka when the cranes were not installed. Sahii their main ports in Dar is a slum na Zanzibar zinategemea Lamu for transshipment. Na bado hata Lamu port haijaanza kazi vizuri, it has barely scratched the surface, the economic benefit will be massive.
 
Pole dadaangu kwa taarifa itakayokuumiza, JNIA sahii ina handle 6 million passengers annually, according to 2024 reports ๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3431321
Kumbe alikuwa anadanganya? Sasahivi ni vyema kila wanachosema nianze kufuatilia nihakikishe kwanza.
Wanaleta story za jaba ilimradi tu kushinda mabishano. Hahaha very stupid people ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kumbe alikuwa anadanganya? Sasahivi ni vyema kila wanachosema nianze kufuatilia a kwanza.
Wanaleta story za jaba ilimradi tu kushinda mabishano. Hahaha very stupid people ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Humu ndani tulikubaliana kwamba katika maneno 100 ya mkunya chukua neno moja tu, na lenyewe pia ulifanyie tafiti. Vibra ni vipumbavu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ vitakulisha uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ