Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿฆ’ Nchi ya Tanzania ilipokea watalii zaidi ya milioni tano (5) katika msimu wa utalii wa mwaka 2024/2025.

๐Ÿฆ“ Tanzania inalenga kuvutia watalii zaidi ya milioni nane (8) kwa mwaka ifikapo 2030.

๐Ÿ“ธ: Meli ya watalii ikiwasili Pwani ya Dar es Salaam
 
wakat rasi ananunua ticket na kugawa kwa wafanyakazi wa serekali na wale kalenjin wenzie huku kwetu kiwanda chapili cha FAW kimejengwa bagamoyo apart of that in kibaha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

hichi kitazalisha 5000 units by 2027 mwaka huu wataanza na 2000 units

 
Inatakiwa tupate kampuni moja ya magari ya kawaida na hyce za abiria, ili tupumzike na used za Japan.
 
Pesa zote kwa mzungu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

No wonder Tanzania bado ni LDC despite having all the natural resources in the world.
uhehehe yani hio ni pesa tanzania intengeza kwenye port and transport sector ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

copper from congo and zambia
 
uhehehe yani hio ni pesa tanzania intengeza kwenye port and transport sector ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

copper from congo and zambia
Port si ni ya Mwarabu? Dar Port haimilikiwi na Tanzania.
 
umeamua kutuonesha takataka live bila chenga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป

leo umejipiga denda mwenyewe
Poe kwa maumivu. Ulisema affordable housing atafanyika, saa unatafuta kichaka cha kujifichia๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Uko sahihi mkuu ila nahisi inahitajika pia baadhi ya sera za Chama Cha CCM zibadilike maana inaonesha kabisa Kuna mapungufu kwenye sera zake baadhi.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Inamaana mkuu hauamini mikono mingine nje ya CCM?
 
Embu Wacha nijadili mambo ya maana.
Baki na ukichaa wako unanipotezea muda hapa.
 
Hivi sera za ACT wazalendo zikoje?

Hii sheria ya wa znz kumiliki ardhi bara ila sisi kutomiliki kule, mbona ya zamani sana. Wakati na kua hata kwenda Znz ilikuwa lazima uwe na passport.
Sera zake nitaleta soft copy yake na kumwaga humu uzione mkuu.
Ni sera nzuri tu na jengefu.

Kuhusu umiliki wa ardhi sijajua kama hiyo ilikua ni ya zamani sana shukran umenifahamisha.
Ila hivi wewe unaona ni sawa mpemba aishi Bara pasi na vikwazo ila Mbara akienda visiwani awekewe vikwazo hasa hilo la ardhi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ