Pesa zote zinaenda kwa wazungu Nyinyi mnabaki mkiimba mama๐๐๐
Because you lack exposure.Sijawahi ona tangu zunia iumbwe
aliekwambia mshahara wake ni 50k nani?? hebu leta mshahara wake hapa tuangalie wote kondoo wewe
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐read againPesa zote zinaenda kwa wazungu Nyinyi mnabaki mkiimba mama๐๐๐
Leta evidence kwamba sio 50k.aliekwambia mshahara wake ni 50k nani?? hebu leta mshahara wake hapa tuangalie wote kondoo wewe
signing fee yake tu over 19m ksh alaf apewe salary ya 50k ww ni wazimu wa kichwa ๐๐๐๐๐
Pesa zote kwa mzungu๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐read again
View: https://x.com/africafirsts/status/1952118847584317706?s=46
Hii awamu ina shida, machawa wameamua tu kujizima data kwa manufaa binafsi. ๐๐๐Kuna video niliona Kuna Mkoa raia wanatupa Kadi za uanachama CCM na wanarudisha baiskeli.
Hakuna awamu CCM imebugi ama awamu hii ya Samia Suluhu.
Daah ni basi tu tupo TZ ila hakuna kiongozi wa hovyo kama huyu mama kuwahi kutokea.
Maumivu ya wivu yalianza baada ya Tanzania kushinda 2 bila.Wivu wa kike huo, akunwe mwingine uwashwe wewe.
17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,View attachment 3429760
Hii ndio hiyo picha uliyoipost sasa hivi maku,zoom urself
Wanalazimishe Kasarani iwe empty vile Makwapa ilikuwa๐๐๐17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,
Hata nyinyi nyangโau msemeje kushushwa na Morroco hakuepuki๐17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,
Mbona watanzania ni maboya hivi? hehehe, hii inaitwa logical fallacy, a skewed comparison analysis, Burkina Faso is not DRC kilaza.., mngecheza na hii hii DRC, same players na pia Kenya wacheze na hio Burkina Faso mlio cheza nao, only then your comparison will make sense, otherwise this is stupid, inaonyesha how shallow u are, madhara ya elimu duni, zero logic and critical thinking abilities hehehehe., yaani both are football matches but variables are not exactly the same, Watanzania ni vilaza kweli heheheeheHehehehe wewe ni matako!?
1. Tumeona picha hapo hamkujaza uwanja na video zimeonekana mechi ikichezeka kukiwa na empty seats.
2. Wacha USENGE kuwa mtu mzima, Tanzania alikua na ball possession ya 60 dhidi ya Burkinabe 40. Magoli mawili na goal attempts 16 nane zaidi ya Burkinabe.
Kenya ball possession 52 kwa 48 mkazidiwa goal attempts 14 dhidi ya 5.
Hata takwimu unazifahamu matako ya nguruwe wewe!?
Embu compare and contrast hapo chini.
View attachment 3429931View attachment 3429932
Nakubali ni wazuri, but mpira hudunda, mchezo ni 90 minutes.., tutaona matokeo.,Hata nyinyi nyangโau msemeje kushushwa na Morroco hamuepuki๐
Ona huyu matako mwingine anaongea nini!?Mbona watanzania ni maboya hivi? hehehe, hii inaitwa logical fallacy, a skewed comparison analysis, Burkina Faso is not DRC kilaza.., mngecheza na hii hii DRC, same players na pia Kenya wacheze na hio Burkina Faso mlio cheza nao, only then your comparison will make sense, otherwise this is stupid, inaonyesha how shallow u are, madhara ya elimu duni, zero logic and critical thinking abilities hehehehe., yaani both are football matches but variables are not exactly the same, Watanzania ni vilaza kweli heheheehe
We acha tu,mie nipo ACT wazalendo nagombea mwaka huu pia Temeke, aisee CCM labda atapata urahisi kwenye urais,ila kwenye udiwani na Ubunge kazi anayo sana.Hii awamu ina shida, machawa wameamua tu kujizima data kwa manufaa binafsi. ๐๐๐
Wacha kulazimisha ujinga wako humu, can't u see how an idiot u are, what was the statistics then between Tz and DRC?.., and does ranking play football kilaza?.., tafuta elimu kilaza upunguze kujibu hoja kishabiki uanze kuandika kitaalamu., uko hovyooo! Can't even see the variables are not the same, kama ranking ndio unatumia u are a twat!Ona huyu matako mwingine anaongea nini!?
Halafu hakuna ulichoongea zaidi ya takataka.
Hao DRC tukikutana nao AFCON wakiwa full mkoko na international players wake wote tuli draw nao.
Ninyi mmekutana na kinda hao!?
Comparison ipo kwasababu kwa renki Burkinabe ya 65 na DRC ya 61.
Na kitakwimu Burkinabe inaonekana kupiga hatua kimpira kuliko DRC,kwanini nisiweke comparison!?
Hivi hata zile hesabu za domain and range ulisoma kweli wewe matako!?
Yani Kenya kumfunga DRC ni sawa na Saudi Arabia kumfunga Argentina kombe la Dunia 2022, takwimu zinaonesha wazi DRC aliwazidi kimpira ila hakumakinika tu golini.
Ukija wa Tanzania takwimu zinaonesha Burkinabe tulimpelekea moto wa kifuu.
Wewe Kaa endeleza non-factuals.
Mmmh mkuu upinzani umerudi kwa Kasi. Ila alichokosea CDM ni kujiweka kando na uchaguzi hapo kuharibu.CCM imerudi ilivyokuwa 2015, tofauti kwa sasa upinzani umedhoofika.
CCM ni chama kizuri ila mtandao wamekiharibu sana, hasa kwa kuwa wao ndo wazee wa chama.
Wale wakubwa zao waliokuwa wakikemea mambo ya hovyo, wengi aidha walisha kufa au ni wazee sana.