45k capacity hawawezi kujaza pamoja na serikali kununua tickets zote na kugawa bure πππNa hata kujaza imeshindikana. πππ
View attachment 3429591
Pitch mbovu. πππYani wanacheza hovyo kinoma, kama amateurs π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Bob vipi mbona huleti Kenya vs Congo?Sijawai ona hii Defender 130 huko bongoslum. π€£π€£
View: https://www.instagram.com/reel/DMzjz1ioxIy/?igsh=NXdtNjBueG9iOGE2
Hii ndio hasara ya kukaa Kibera mpaka unazeeka. Ushamba lazima uwe mkubwa kizidi kipimo cha kimataifa
View: https://audiomack.com/tan255nzania/song/nairobae-toka-kibera
Wamebebwa ilitakiwa wawe washapigwa moja var imewabeba, ila aibu kiwanja kina matope kama yoteNgapi ngapi hukoooo!?
Yule mnuka ****** tiwa gas si alidai tickets ni sold out.? π€£π€£π€£ imagine wanashidwa kujaza ka uwanja ka 48k seaters.?Na hata kujaza imeshindikana. πππ
View attachment 3429591
Wakenya wanaishi kwenye ulimwengu wa ndoto."Ooohh tutajaza uwanja", kiko wapi
Pitch mbovu, Mpira mbovu , I'd rather watch some animals channelPitch mbovu. πππ
View attachment 3429597
Sehem nyingine nyasi kipara π€£π€£π€£π€£π€£Wamebebwa ilitakiwa wawe washapigwa moja var imewabeba, ila aibu kiwanja kina matope kama yote
Inamaana bila bila ingekua hawajabebwa moja mtungi?Wamebebwa ilitakiwa wawe washapigwa moja var imewabeba, ila aibu kiwanja kina matope kama yote
Bora utizame cartoon ya hotel Transylvania bleeeh bleeeh bleeeh.Pitch mbovu, Mpira mbovu , I'd rather watch some animals channel
Wakenya midomo mirefu lkn hamna kitu.Na hata kujaza imeshindikana. πππ
View attachment 3429591
Mtungi wa maaanaInamaana bila bila ingekua hawajabebwa moja mtungi?
Mpira mbovu, papatu papatu nyingi, wachezaji hata kutuliza Mpira hawawezi, yaani hawana uwezo wa kupiga complete pasi 4 ππ, no wonder walikimbia kule KaratuBora utizame cartoon ya hotel Transylvania bleeeh bleeeh bleeeh.
πππππ
Tunapigizanaga kelele na mbwa tu humu ndani, mbwa zinatuelezea vitu zenye vinatamani lakini uwezo wa kanchi kao ni duni, they canβt have those things done. π€£π€£π€£Pitch mbovu. πππ
View attachment 3429597
Huyu katumwa aje apoze kichapo humu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hizo ulizoscreenshot zinahusikana aje na N-card kuwa brand name? I thought you were going to prove to me that N-card is not a brand name.ππEmbu soma utofauti hapo wewe mbung'o.
Elimu ya Kenya ni majanga.View attachment 3429547View attachment 3429548