Mwaka Kesho.nimekuuliza hio data ni ya mwaka gani??😂
simba pekee na yanga pekee wanajaza huo uwanja huo tena kwa viingilio vikubwa sana zaidi ya hvoCheap tickets yet you can't fill the stadium 😂😂
Kama game inainvolve timu yenu ipo empty, na je hizi game zingine? Utaona game ya Morocco na angola leo itajaa.tanzania ndio mkereketwa wa mpira kwa jumuiya hii ukubali ukatae bila tanzania kenya isingeambulia chochote 😂😂😂
sisi tuna GDP kubwa mbona hamujazuia ban yoyote baada ya ile ya kwetu mulivolia mukatoa mpaka kamasi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwaka Kesho.
Tanzania ipo katika mkoroge wa kisiasa,kutokujaza uwanja haimaanishi Tanzania hatuna pesa ama ni vipi.So hao wakenya ndio waliwafanya msijaze Stadium?
Tanzania ni maskini hadi wanalipishwa 50 kuingia uwanja 😅Mbona hamjapewa finals basi? Kelele mingi na hamuezi lipa Ksh 50 kuenda kuwatch ball, sasa mkilipishwa Ksh 200 kama Kenya sio hiyo Hadi coach atakataa kukuja Stadium?😂😂
Tanzania ni maskini hadi wanalipishwa 50 kuingia uwanja 😅
Yani hadi CAF wanajua ni nchi gani maskini
Na wewe kwa akili zako unafananisha ATM card na N-card!?I wanted to say the same nikajua lazima Kuna mtu ataelimisha mbilikimo.😂
😂😂😂😂😂 yani leo nimecheka sana alooNa wewe kwa akili zako unafananisha ATM card na N-card!?
Elimu ya Kenya ni janga.
Watu wapumbavu bhana. Unapigizana kelele na watumia N-card while wewe unajisifia kuijua kwa ku google definition, you will never use it in your entire life .. 🤣🤣🤣🤣.. huu ni uzuzu au ni utaahira, ooh Oky ni njaa.Automated Teller Machine. Do you know what a teller is? A teller is someone who transact your finances, in the case of ATM it's automated. Ebu sasa niambie hiyo N-Card yenu Nani huwa anafanya transaction wa hizo payments?
Shida yako ni ufala na ujinga. Ungebaki Yemen isome vizuri hungekuwa unatuonyesha wako kwa nchi ya watu wengine.
Football ni furaha, football ni burudani. Wacha watu waburudike. Kinachokusumbua ni wivu na ushamba. Hakuna kingineThis is a Ugandan. Imagine ticket ya 50 bob wanashindwa kulipa😂😂
View: https://x.com/SandrahNassali/status/1951725844218442210?t=JhZjsn1Y--3louJNx5teuw&s=19
Almost 700 MW in Dar alone.Mwambie Dar pekee yake inatumia zaidi ya 650MW
Swali: Mbona hamkuijaza Jana?simba pekee na yanga pekee wanajaza huo uwanja huo tena kwa viingilio vikubwa sana zaidi ya hvo
View: https://www.instagram.com/p/DLPLaKMK-iT/?igsh=ZzB6b2U4dG44ZnBw
And entire Country is doing 1300MW.Almost 700 MW in Dar alone.
Bado hatujaweka Pwani ambapo kuna viwanda vingi inatumia umeme zaidiAlmost 700 MW in Dar alone.