NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,331
- 19,713
Hiyo picha niliipiga mwenyewe hata sikutafuta. Yani kando ya barabara tu nikapiga tena main road. Ningeingia ndani ningeona miujiza.Wakenya mnatafuta kwa tochi vitu vya hali ya chini mbongo. Lakini huko kenya hata kipofu anaona uozo wa nchi yenu.
Chang'aa ishakuharibu,ubongo,wapi niliposema hizo nyumba zina vyoo vya ndani?Hii nyumba ina choo ndani? 🤣 🤣
Danganya wenye hawajawai fika Bongo. Nyumba mpya za tofali hapo bongo vyoo viko nje alafu utuambia nyumba ya tope ina choo ndani?🤣 🤣
View attachment 3427321
Kwa hivo nyumba ya tope ina choo kipi cha kueleweka? 🤣 🤣Chang'aa ushakuharibuubongo,wapi niliposema hizo zina vyoo vya ndani?
Pole sana ligi yenu maskini sanaMeaning we have more talent than you.
Kila mtu anajua kaka, dunia hii ya utandawazi huwezi kudanganya mtu. Wakenya mmebarikiwa sasa na uozo uliovuka mpaka. Hakika Jehanamu ipo KenyaHiyo picha niliipiga mwenyewe hata sikutafuta. Yani kando ya barabara tu nikapiga tena main road. Ningeingia ndani ningeona miujiza.
Mwambie Simba Queen pekee inalipa Mshahara wachezaji wake kuaanzia $2,000. But huko Kenya hakuna mchezaji wa Timu yoyote ya wanaume anaweza kufikia mshahara wa wachezaji wa Simba QueenPole sana ligi yenu maskini sana
Fikiria mzimu sponsorship kwa timu haizid 3mil
Utalinganishe na Tanzania ambako timu moja inapata sponsorship ya over 330mil usd
The main reasons there are more Kenyan football players in Kenya than Tanzanian players in Kenya relate to:
1. League Attractiveness & Player Movement
Kenyan Premier League (KPL) tends to attract more local Kenyan talent than foreign players because the domestic competition is competitive but not as financially attractive as some regional leagues (e.g., Tanzania’s NBC Premier League).
Many of Kenya’s top players prefer to stay in Kenya unless they get opportunities in higher-paying leagues (Tanzania, South Africa, Zambia).
Tanzanian players often aim for better-paying leagues directly (NBC Premier League in Tanzania, or outside East Africa) rather than Kenya.
2. Financial Incentives
NBC Premier League (Tanzania) generally offers better salaries and perks for foreign players than KPL.
Tanzanian clubs like Simba SC, Yanga SC, and Azam FC have bigger budgets and are known to pay top wages in East Africa.
This means Kenyan players have more incentive to go to Tanzania than Tanzanian players have to go
Nilidhani Kenya ni nchi tajiri 😂 😂 😂
Mark my words that Stadium will be torn down in a few years. Then you will see posts on Twitter from Kenyans about how much they wasted renovating it and it was all corruption, blah blah, blah... LOL!The Jurassic Karasani capacity is 48k
It also means Kenyan players have the talent to go to Tanzania.Pole sana ligi yenu maskini sana
Fikiria mzimu sponsorship kwa timu haizid 3mil
Utalinganishe na Tanzania ambako timu moja inapata sponsorship ya over 330mil usd
The main reasons there are more Kenyan football players in Kenya than Tanzanian players in Kenya relate to:
1. League Attractiveness & Player Movement
Kenyan Premier League (KPL) tends to attract more local Kenyan talent than foreign players because the domestic competition is competitive but not as financially attractive as some regional leagues (e.g., Tanzania’s NBC Premier League).
Many of Kenya’s top players prefer to stay in Kenya unless they get opportunities in higher-paying leagues (Tanzania, South Africa, Zambia).
Tanzanian players often aim for better-paying leagues directly (NBC Premier League in Tanzania, or outside East Africa) rather than Kenya.
2. Financial Incentives
NBC Premier League (Tanzania) generally offers better salaries and perks for foreign players than KPL.
Tanzanian clubs like Simba SC, Yanga SC, and Azam FC have bigger budgets and are known to pay top wages in East Africa.
This means Kenyan players have more incentive to go to Tanzania than Tanzanian players have to go
Which one is ur boyfriend among them?…asking for a friend..😁😁😁Lamata Village Mtoko wa Cow Boy. Tanzania watu wanakula bata siku after siku. Hii ni jana ilinipita. Tunawanga wakenya mpaka wanyooke.
WAIGIZAJI WA JUA KALI
View attachment 3427142
View attachment 3427143
View attachment 3427144
Sasa kufunga chuma ndio mradi?Nitaanza kuwaonesha Wakenya miradi ya Tanzania iliyopo nje Dar es Salaam ili wajue sisi sio kama Kenya, kila siku ni Nairobi tu
Hii ni Mtanda Complex inajengwa Iringa mjini
nairobae NairobiWalker na Teargass kaeni chonjoView attachment 3427353View attachment 3427354View attachment 3427355View attachment 3427356
What has the stadium capacity got to do with utajiri wa nchi? Alafu tukisema wengi wenu humu ni wapumbavu mnatuita wabaya.Nilidhani Kenya ni nchi tajiri 😂 😂 😂
Why did you ignore this part "Mtanda Complex" kwa nini umekimbilia kwenye vyuma, That's just an early stage of the building, The complex is still under construction. You can't even understand a simple post, unajionesha how ignorant you areSasa kufunga chuma ndio mradi?
Hapo mtaleta excuses ila tunajua ni pesa ndio mmekosa. Mliplan kujenga stadium ya watu 60000 sasa imeishia kuwa ya 48000. Your leaders will always remind you how poor your country isWhat has the stadium capacity got to do with utajiri wa nchi? Alafu tukisema wengi wenu humu ni wapumbavu mnatuita wabaya.