Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,766
Kiwanda cha kuchenjua Uranium radioactove kinakaaje kaka? Hebu nipe ufahamu kidogo!Kiwanda cha kuchenjua Uranium Tayari huko Ruvuma. Hawaelewi kinachoendelea Tanzania
View: https://www.instagram.com/p/DMuc92CqkVp/?utm_source=ig_web_copy_link
Nani atapanda ile mikebe ya tetanus?Hawa majamaa wana Gold medal ya sealioning. 🤣 🤣 🤣
View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1950269404970963411
Asante.Kiwanda cha kuchenjua Uranium radioactove kinakaaje kaka? Hebu nipe ufahamu kidogo!
Nyang’au wakilala wakiamka wanaiota Tanzania😎Kwani hii habari wakenya waimewauma kiasi hiki? Nchi zingine za jirani sijaona wanalia kiasi hiki,yaani ukiingia sasa hivi kwenye social media za kenya 🇰🇪 hii habari ndio inatrend
View: https://x.com/ntvkenya/status/1950474474069119349?t=DfYP_IEqv76rORm-rtsvYA&s=19
Kwani hii habari wakenya waimewauma kiasi hiki? Nchi zingine za jirani sijaona wanalia kiasi hiki,yaani ukiingia sasa hivi kwenye social media za kenya 🇰🇪 hii habari ndio inatrend
View: https://x.com/ntvkenya/status/1950474474069119349?t=DfYP_IEqv76rORm-rtsvYA&s=19
Yani wao ndio wanaisambaza kote duniani. Yani Tanzania inawatumia sana wakenya kusambaza news za Tanzania. Wao wala hawaelewi wanaona wanikomoa Tanzania kumbe wanasambaza news zetu. Hata kwa sasa Dogo Rema ni gumzo kubwa sana huko kenya, Msanii wa Doto Magari 🤣 🤣 🤣 🤣Hiyo habari imekuwa kubwa huko kunyaland kuliko hapa Bongo. Yani hapa wabongo hata hawana mjadala na ni wachache sana wanaojua kuhusu hiyo Sheria mpya.
Ila kunyaland ni front page kwa magazeti yote na social media zote ndio wanachojadili. Yani target alikuwa mchina ila nyang'au ndio anatoa milio kama mwehu.... Hii kweli kichekesho Cha Karne....Tambo zote na kelele za kujitapa kumbe hakuna kitu...
Sijui kama wataweza ku afford Bei ya unga hawa baada ya kupata kibano kwenye kilimo na mazao.
Mu7 yupo ukunyani leo ila usishangae akaondoka bila kuongelea au asiongelee kwa uzito mkubwa. 😂😂😂
Tena wafanye kama wanajikuna tuu au waseme suuu.Vehicle owners ndio kina nani wakundustan?
View: https://x.com/GetembeTV/status/1950528586932248892?t=uPanCiS7QzWQzfpTlO2Aug&s=19