babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,444
- 36,077
Nchi yenu ina maturity? πππTofauti ni maturity between hizi nchi mbili... nyinyi huwa mnaongozwa na emotions na utoto
mwaiofhawaii This is what visitors will see while landing in Dar is a slum for CHAN. π€£π€£
View: https://vm.tiktok.com/ZMS3xNUq2/
Wanalamika kuhusu omba omba, vinyozi na wauza chai kutoka Burundi na Rwanda lakini serikali yao haitungi sheria ya kuwathibiti. πππ
View: https://x.com/NyonjeLance/status/1950195242289733664?t=kjd6S8huooDMiDgOIsU4WA&s=19
Ni vilio kila kona huko nchi tajiri ya kunyaland,na bado
80% of Dar si inafanana hivyo. The most unplanned city in Africa.Hiyo kwa Dar es Salaam ndio Kibera sasa.
Eneo la Vingunguti, Airport, Kipawa, na Banana ni maeneo mostly wanakaa COMMON Mwananchi, industrial areas na godowns na TPDF Airwing.
Na hapo watu ni nyumba zao hizo.
Wakasema watafukkuza ombaomba wakihisi sisi ni kama wao , wawafukuze tuone nan ataaibika..majority ya hao ombaomba ni watu wao wanaojificha kwa mgongo wa watz.Wanalamika kuhusu omba omba, vinyozi na wauza chai kutoka Burundi na Rwanda lakini serikali yao haitungi sheria ya kuwathibiti. πππ
View: https://x.com/magwaz3/status/1949714545716417005?s=46
View: https://x.com/therealantoh/status/1948797428238356893?s=46
Kazi yako huwa ni kukaza fuvu tu, hujawahi kuelewa.80% of Dar si inafanana hivyo. The most unplanned city in Africa.
Sijui wanachelewa wapi hawa jamaa kufanya hivyo kiukweli , Tanga port inayo potential kubwa mno ya kufanya mapinduzi na Kuwaliza hawa wehu wa Kunyarenda.Hapa wakiongeza another 2 berths say 800-1000m kuna mtu atalia!
Ujirani mwema jamani tunafinya kidogokidogo .Sijui wanachelewa wapi hawa jamaa kufanya hivyo kiukweli , Tanga port inayo potential kubwa mno ya kufanya mapinduzi na Kuwaliza hawa wehu wa Kunyarenda.
Mwakani Tutaanza kupata pesa za EACOP.Sijui wanachelewa wapi hawa jamaa kufanya hivyo kiukweli , Tanga port inayo potential kubwa mno ya kufanya mapinduzi na Kuwaliza hawa wehu wa Kunyarenda.
Leseni zao zikiisha maana yake wanakabidhi kwa wakulungwa wazawa. Wawekeze kwenye vitu vya ki foreginer kweli kweli. πNi wachina walikua targeted lakini milio inatokea Kunyaland πππ
View: https://x.com/GideonKipyator1/status/1950200520515154412?t=X3RsydA5TNeKSgnFUCo3lQ&s=19
Hupendi kusikia ukweli.Kazi yako huwa ni kukaza fuvu tu, hujawahi kuelewa.
Kubomoa nyumba za masikini sio tatizo tatizo kama hawajaboresha maisha yao kupitia hiyo development projectEthiopia wana matatizo sana ila wanayaficha mbele ya wageni.
Walianzisha ADDIS ABABA DEVELOPMENT CORRIDOR PROJECT, wakapamba sana Addis Ababa na wamevunja nyumba zote za masikini.
Ikitokea Slum tu wanafukuzwa. Kuna makabila yanalalamika yamefukuzwa hapo town na kupewa ambao siyo wenyeji.
Huko Tigray kuna vita ya kikabila.
Watu karibu 200M lakini Addis ababa watu wachache.
View attachment 3423011
Napenda vile huwa mnapenda kujiliwaza hapa,Ethiopia wana matatizo sana ila wanayaficha mbele ya wageni.
Walianzisha ADDIS ABABA DEVELOPMENT CORRIDOR PROJECT, wakapamba sana Addis Ababa na wamevunja nyumba zote za masikini.
Ikitokea Slum tu wanafukuzwa. Kuna makabila yanalalamika yamefukuzwa hapo town na kupewa ambao siyo wenyeji.
Huko Tigray kuna vita ya kikabila.
Watu karibu 200M lakini Addis ababa watu wachache.
View attachment 3423011
Evidence ikiletwa bado mtasema ni ya kwa makaratasi. Mmeumbwa tu hivo, wabishiBila evidence sisi tutaamini vipi? Anybody anaweza akaweka picha yoyote na kusema ni Kenya bahati nzuri tunawafahamu vizuri nyie. Out of 10 words we only take one na kusonga.
Wangese wameumia mno,sheria imetungwa kwa kila asie mtanzania,but ni wao tu ndio walioumia πWanalamika kuhusu omba omba, vinyozi na wauza chai kutoka Burundi na Rwanda lakini serikali yao haitungi sheria ya kuwathibiti. πππ
View: https://x.com/magwaz3/status/1949714545716417005?s=46
View: https://x.com/therealantoh/status/1948797428238356893?s=46
80% of Dar si inafanana hivyo. The most unplanned city in Africa.
Hivi vidata uchwara ndio vinawapoteza.Napenda vile huwa mnapenda kujiliwaza hapa, View attachment 3423543
Evidence ikiletwa bado mtasema ni ya kwa makaratasi. Mmeumbwa tu hivo, wabishi
Who is World data Lab?Napenda vile huwa mnapenda kujiliwaza hapa, View attachment 3423543