Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa nini hutaki kuweka listi yako hapa kila mmoja aone. wacha woga wa kike. weka kila kitu wazi kisha kama kuna jengo lolote linaleta tashwishi tunalichambua kupitia vyanzo
 
kwa nini hutaki kuweka listi yako hapa kila mmoja aone. wacha woga wa kike. weka kila kitu wazi kisha kama kuna jengo lolote linaleta tashwishi tunalichambua kwa official links
nimeshaanza weka picha na jina la jengo twende kazi nidhamu za uoga waachie mademuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
twende kazi baba
 
kwa nini hutaki kuweka listi yako hapa kila mmoja aone. wacha woga wa kike. weka kila kitu wazi kisha kama kuna jengo lolote linaleta tashwishi tunalichambua kupitia vyanzo
bahati nzuri umekutana na mtu anaewajua wakenya vyema sasa mm ujanja wenu hua naujua na pia najua kuushibiti haya twende am waitingπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
maana nairobi walker alipoona kazidiwa sasa akaanza kuleta na underconstruction building wakat sisi hatukuingiza hata mojaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
sikiza ndugh.... kila mtu anajua vile TPA linakaa. wewe kwanza lete listi ya No. 1 - 12 ya majengo yote ya dar. weka hapa usione haya
hahahahha akili kichwani mwako ushindani umekuahinda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na ningekubana hayo makende kisawaswa kama nilivombana mzee wa iphone 7 bandia
 
wacha kulia lia sasa lete listi yako. kulialia haikusaidii hapa
 
Joto la Jiwe,hawa jamaa hawaamini kwamba kwao kuna njaa.?kuona ni kuamini.
Haya,Low middle income njooni huku muone.
 
wacha kulia lia sasa lete listi yako. kulialia haikusaidii hapa
weka picha nishaweka majengo matatu tayari nakusubiria tuendelee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ muite na nairobi walker aje akusaidie
 
hahahahha akili kichwani mwako ushindani umekuahinda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na ningekubana hayo makende kisawaswa kama nilivombana mzee wa iphone 7 bandia
uzi wa over 20+ flrs ulianza kuweka vitu vya 12flrs.... wewe lete listi kama vile nilivyofanya hapo kisha tuchambue yale majengo yanayoleta tashwishi
 
uzi wa over 20+ flrs ulianza kuweka vitu vya 12flrs.... wewe lete listi kama vile nilivyofanya hapo kisha tuchambue yale majengo yanayoleta tashwishi
haya niwekee picha ya majengo matano nasubiria leo sitakuacha hvi hviπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mm ndio fundi wa kutibu ujanja na uongo wa wakenya
 
haya niwekee picha ya majengo matano nasubiria leo sitakuacha hvi hviπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mm ndio fundi wa kutibu ujanja na uongo wa wakenya
sasa kwenye hio listi yangu kuanzia No. 1 mpaka 5 ni jengo gani hulijui ambalo wataka kuliona kwa mara ya kwanza?
 
sasa kwenye hio listi yangu kuanzia No. 1 mpaka 5 ni jengo gani hulijui ambalo wataka kuliona kwa mara ya kwanza?
leta jengo unafki pembeni jengo kwa jengo na meno kwa meno πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unaogopa nn
 
Joto la Jiwe,hawa jamaa hawaamini kwamba kwao kuna njaa.?kuona ni kuamini.
Haya,Low middle income njooni huku muone.
Hili ndilo tatizo lao, wanaishi maisha ya kufikirika sana, hawataki kujua na kukubaliana na ukweli, Kenya hali ni mbaya sana katika maeneo mengi sana, hata uchumi wa nchi yao upo kwenye hali mbaya, hata hili wanalijua na IMF inawakumbusha kila mara lakini hawataki kukubali, wanalazimisha kuonekana hali ni nzuri kwa kuonyesha flyovers, shopping malls na Super highway.

Mimi ningekua mkenya ningejiuliza, hivi hii GDP yetu kubwa, au hao mamilionea wetu wengi, mbona bado tunaongoza kwa namba kubwa ya vijana wasio na ajira?, mbona bado tunaongoza kwa njaa hapa EA?, mbona bado tunaongoza kwa slums nyingi na kubwa hapa EA, mbona bado tunashida ya maji katika miji mingi hadi kipindupindu kinasumbua katikati ya Nairobi?. Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo GDP kubwa inapaswa kuyatatua, sio shop malls milionea wengi.
 
TPA |40F

3.Kakakuona Tower|36F |Site Clearing
4.PSPF Tower A|35F |153m |COMPLETE
5.PSPF Tower B|35F |153m |COMPLETE
6.Mzizima Tower Office |35F |U/C
7.Mzizima Tower Residential|33F|U/C
8.Dar es Salaam City Center Promise Tower |35F| Proposed
9.PPF HQ |40f
10. MNF Tower 1 |32F |
11.MNF Tower 2 |32F |
12.Uhuru Media Tower |32F|
13.Rita Tower |30F |COMPLETE|
14.Millenium Tower II|30F |COMPLETE
15.Dar es salaam Stock Exchange |30F|
16.NHC Independence plaza |30F+|
17.NHC Giraffe Tower |30F+|
18.NHC 50th Avenue Tower 1| 30F+|
19.NHC 50th Avenue Tower 2| 30F+|
20.NHC Morocco Square Tower 1|30F|
21.NHC Morocco Square Tower 2|30F|

23.NHC-Mixed Used Blocks on Plot No. 300 Tower 1|27F|
24.NHC-Mixed Used Blocks on Plot No. 300 Tower 2|27F|
25.NHC Golden Anniversary Building |26F|
26.Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |
27.Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |
28.Uhuru Heights | 25F |
29.TPA INVESTMENT PROJECT|25F |
30.Dar es Salaam|TPHA Tower|25|
31.NHC Bank Ico tower|25F+|
32.NHC Morocco Square Tower 3|25F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…