Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale waliokimbia CECAFA walidhani mambo yatakwama

1753282360132.png
 
Ilianza na kupinga matatus are not 100% made in Kenya, baada ya kuonyeshwa assembly plant, wakapinga eti ni ya South Africa, baada ya kuconfirm the assembly plant iko Kenya wakashift to they are not Kenyan brands. 🤣 🤣 🤣 Bongolala nikama malaya, haridhishwi.
Tell me where in kenya do they manufacture matatu's engines. gearboxes and differential? You are manufacturing them in Kenya 100% right?
 
Changamoto ya siku moja. Even UK matatizo ya siku moja hutokea. Nchi masikini kama kenya hazijui changamoto hizi.
Eti siku moja, unadhani sisi ni mafala. 🤣 🤣 🤣 As if is the first time we have witnessed mukipagania public transport. Watu maskini who can't afford other options si ndio wanapigania hizo mabasi zenu, so nani maskini?
 
Eti siku moja, unadhani sisi ni mafala. 🤣 🤣 🤣 As if is the first time we have witnessed mukipagania public transport. Watu maskini who can't afford other options si ndio wanapigania hizo mabasi zenu, so nani maskini?
Siyo tunadhani, nyie kwa uhakika ni mafala, Yaani uanze kutupigia kelele kutoka nchi failed(Kenya). Dar kwa sasa inashindana Dallas Texas
Suhahidi huu hapa: 👇 👇 👇 👇


View: https://www.instagram.com/p/DMaQmcKNcbY/?utm_source=ig_web_copy_link

Nairobi inashindana na Mogadishu
 
Give me one model only and i will be satisfied na kukubaliana na wewe. Hakuna haja ya kutafuta picha na kuweka maelezo mengi while you could have just typed one word the name of the model ingetosha.
Models of Kenyan made buses.

Emirata
Polo
Sultan
Sherrif
Majesta
Futura
 
Back
Top Bottom