Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yamekuwa hayo tena Kwikwikwikwikwi. Kwahiyo mambo mengine yote unataja lakini Brand ya Car zinazotengenezwa Kenya umenuna!!!???
Mr. Kwikwikwi kwani leo unaogopa kutumia AI au unaogopa aibu. Tumia AI tuone majibu. 🤣 🤣
 
Where a car is assembled ndio hua inaandikwa. Cars assembled in Kenya hua zinaandikwa produced in Kenya. Cars parts can be manufactured from different countries, unaweza pata engine na body imetengenezwa Japan, chassis imeundwa South Africa na electronic parts zimeundwa Germany. Where all this parts are assembled together to build a complete car ndio hua inaandikwa hio gari imetengenezewa wapi.
Assembling sio manufacturing ndugu, kwahiyo unaweza tuletea nganya made in Kenya.
Ebu tupe models za nganya kama vile tuonavyo kwenye makampuni mengine ya wazalishaji
 
Mr. Kwikwikwi kwani leo unaogopa kutumia AI au unaogopa aibu. Tumia AI tuone majibu. 🤣 🤣
Brother achakukwepesha mada. We all know Car zinazotengenezwa kenya ni Laikipia BJ 50 🤣 🤣 🤣 🤣 Nilikuwa nakutega tu nione kama utaleta tofauti na hizi. But umeona aibu

1753174941247.png
 
Assembling sio manufacturing ndugu, kwahiyo unaweza tuletea nganya made in Kenya.
Ebu tupe models za nganya kama vile tuonavyo kwenye makampuni mengine ya wazalishaji
Car parts are manufactured but a complete car is not manufactured. A complete car is assembled by putting together different manufactured car parts.
 
Back
Top Bottom