Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga hizo engine wala chassis na other parts hazijatengenezwa Kenya hizo zimekuja kama CKD parts for assembly tuu. Nyie zaidi ya kukaza bolts and nuts hamna akili nyingine hapo.
Wewe ndio mjinga, all cars are built on an assembly line, whether it's an automated assembly built by robots, manual assembly built by humans or CKD assembly. Parts manufactured elsewhere are usually put together on an assembly line to produce a car.
Unadhani Isuzu hua wanaunda gari complete then wanabomoa to ship it to Kenya to be re-assembled again. 🤣🤣🤣
 
Getty Images ni Store ya Images, Any Person can post. But hiyo picha ni Isuzu Motors South Africa (IMSAf)

Original Source hii hapa:

Kumbe South Africa iko East Africa.🤣🤣

gettyimages-951804450-612x612.jpg
 
You said 100% made in Kenya hapo ndipo tunapotofautiana wakati we know you don't manufacture any vehicles except BJ50 and 60 models. Kama unabisha niweke picha za magari ambayo mnatengeneza hapo?
Yes 100% ju hio gari haikujengwa on an assembly line in another country. Ndio maana chassis huandikwa produced in Kenya.
 
Kwikwikwi utamdanganya nani nairobae mnabadilisha malori kuwa matatu

View attachment 3414180
Soma hapa:

Isuzu model zilizokubaliwa na NTSA ni ISUZU NQR81M COWL
Hizi hapa:

View attachment 3414182
Hizi gari TZ hubebea matikiti na mihogo tuu toka shamba nyie huko kaskazini mnabebea nini nazo?
 
Wewe ndio mjinga, all cars are built on an assembly line, whether it's an automated assembly built by robots, manual assembly built by humans or CKD assembly. Parts manufactured elsewhere are usually put together on an assembly line to produce a car.
Unadhani Isuzu hua wanaunda gari complete then wanabomoa to ship it to Kenya to be re-assembled again. 🤣🤣🤣
Umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
Na ni 2020!!
Hii ndio inaitwa maskini akipata 2025 matako hulia mbwata ama😂
Ilianzia hapa 2020

Jambojet withdraws big planes from Eldoret route​

THURSDAY, JUNE 04, 2015 — UPDATED ON DECEMBER 13, 2020 - 2 min read
jet.jpg

JamboJet operates flights between Eldoret, Nairobi and Mombasa. PHOTO | FILE

Baadae ikawa chaliii

Budget airline JamboJet has stopped flying larger aircraft to Eldoret and Kisumu, citing low passenger volumes just months after it introduced direct flights to the destinations.
The firm’s managing director, Wllem Hondius, said it has not been economical to operate Boeing 737-300 aircraft to the towns, because of the low volumes that resulted from direct flights to Eldoret and Kisumu.


Jambojet once offered non-stop flights from Eldoret to Kisumu, with a single flight operating daily (JM 8700), departing around 12:20 PM, arriving approximately 12:55–13:05 PM, with a flight time of about 35 minutes .

However, these direct Jambojet services were discontinued—the Kisumu→Eldoret route ended in June 2022 and no return service has been scheduled since .

Similarly, historical Eldoret→Kisumu flights disappeared after mid‑2022 due to low passenger volumes and operational adjustments .
 
Manufacturing of chassis and engines is not building a car. A car is built by assembling different manufactured car parts together.
So according to you a car for instance Isuzu is called that because of hilo kopo mlilo fabricate au sio? Kama ni hivyo tupe model za matatu tujiridhishe kwanza.
 
Where a car is assembled ndio hua inaandikwa. Cars assembled in Kenya hua zinaandikwa produced in Kenya. Cars parts can be manufactured from different countries, unaweza pata engine na body imetengenezwa Japan, chassis imeundwa South Africa na electronic parts zimeundwa Germany. Where all this parts are assembled together to build a complete car ndio hua inaandikwa hio gari imetengenezewa wapi.
Sawa tuambia sasa nyie ni model gani mna manufacture hapo Kenya? Sisi Tanzania tuna Nyumbu nyie ni modeli gani?
 
Back
Top Bottom