The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hii facility wallahi ni world class hakiyamama, na hatupigi kelele wala nn, kimya kimya.Arusha mabegani 👇🏾. View attachment 3411997
Samia kanunua ndege mbili tu ambazo ni 737 MAX 9 registration (5H-TCP) ambayo ilikuwa delivered October 2023 na MAX 9 registration (5H-TCQ) ambayo ilikuwa delivered March 2024. Ndege zote za ATCL unazoziona zilikuwa ordered na serikali ya awamu ya 5. WACHENI UJINGA NA UCHAWA, HAUJENGI BALI UNABOMOA. Sema KWELI japo ni chungu.
Nmekuuliza kwnn zile boats zimetoka uturuki mana najua songoro anatengeneza hizo.Hata speed boats anatengeneza!
Haya madude walijinasibu watatuuzia kwa ajili ya mwendo kasi, du.Vituko hivi mnaendelea navyo?
View attachment 3411031
MRI za Phillips sasa zenu za bei rahisi toka China 😁
🤣🤣🤣🤣Samia kanunua ndege mbili tu ambazo ni 737 MAX 9 registration (5H-TCP) ambayo ilikuwa delivered October 2023 na MAX 9 registration (5H-TCQ) ambayo ilikuwa delivered March 2024. Ndege zote za ATCL unazoziona zilikuwa ordered na serikali ya awamu ya 5. WACHENI UJINGA NA UCHAWA, HAUJENGI BALI UNABOMOA. Sema KWELI japo ni chungu.
Hoima Stadium is definitely better than this thing.Arusha mabegani 👇🏾. View attachment 3411997
NCC Link ni majengo ya kitu gani?Last week nilikua Dodoma, yo my brother Njedengwa ni moto wa kuotea mbali, zile gorofa ndefu zote wanazojenga ziko karibuni kuisha, ukiwa unaanza kuingia tu mjini unakaribishwa na view ya Njedengwa, it’s really coming up .. NCC link inapigwa hands down.
Song Dedicted to nairobae "NAIROBAE TOKA KIBERA"Your best hospital Muhimbili has a 64 Slice CT scanner and a 1.5 Tesla MRI.
Radiology - Muhimbili National Hospital - Mloganzila
RADIOLOGY DEPARTMENT RADIOLOGY DEPARTMENT Radiology Department is a department under the directorate of Clinical supportive services and deals with mainly Diagnostic radiology. Currently we are also practicing some of the […]www.mloganzila.or.tz
View attachment 3412142
KUTRRH has a 3 Tesla MRI and a 256 slice CT scanner. Hatuko ligi moja na wanyonge kama nyinyi.
View: https://x.com/OliveMugenda/status/1337471251703607297
View: https://x.com/kutrrh/status/1377258422429741057
Hazina kule Ndio wanapaita NCC link.NCC Link ni majengo ya kitu gani?
Usije ukajinyea tu 🤣🤣🤣 mana unajikamua balaa.Hoima Stadium is definitely better than this thing.
Kwa nini mnapenda nyumba zinakaa servant quarters ?… it’s a bigger version of my dogs’ house ..🤣🤣🤣Hivi mnajua uwanja wa arusha umejengwa pembeni ya NHC project Safari city.? 👇🏾 View attachment 3412064wenyewe walikua waneshaanza ujenzi 😄 👇🏾View attachment 3412065hopefully it will resume anytime soon, we make it happen.
My take:-
Arusha imepata fursa ya kutengeneza mji mpya within the city of Arusha. So many development projects to come out.
Arusha iko na potential ya kuwa better kuliko Zanzibar or elsewhere in EA as far as tourism is concerned.
North nyang'aus always uwa wanakurupuka,kilichowakuta kwenye ule mtungi wao wa chang'aa vs TZ SGR ndicho kitakachowakuta kwenye lile banda ya mbuzi talantaYeah ni kweli mkuu, Arusha stadium is very unique. Sio basic kama ule uwanja wa jirani zetu wa north. 🤣🤣
Babu iko kijumba chako cha mbao huko machafu chafu detroit acha kufananisha design ya nyumba za TZ,kunyan wenzako nowdays wanachukua mafundi kutoka TZ,beege wwKwa nini mnapenda nyumba zinakaa servant quarters ?… it’s a bigger version of my dogs’ house ..🤣🤣🤣
Starbucks is an American coffee company. I am curious why it’s written in Chinese on the packaging…or is it one of those fake Chinese imitations?..🤣🤣🤣.. jkHapo nilikula Gahwa toka mwaka jana 2024 August
View attachment 3411764
Nikapewa na kikombe cha kudumu 😎
View attachment 3411766