Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,616
- 5,795
Yaah! Iliwahi Nikita mwezi wa 5 watu wanasafiri Sana aise afu watu wanakata tiket Juu tuu siku hizi hawataki kubabaishwa.Demand ya seats ni kubwa mkuu. Tanzanians ndio taifa amabalo watu wake wengi wanasafiri sana. Hata mabasi siku hizi lazima ukate ticket a day before au mapema asubuhi kama unasafiri usiku bila hivyo hupati seat.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ile jambo moja makini ni kuhusu handling. Lift on na lift off ... Kama zitatumika reli za standard tofauti au kama zitatumika reli then Bus au reli ya aina nyingine. Hapo kunakuwa na additional cost na pia risks ya ku secure mzigo kwa kufanya proper lashings.Hata kama wakimaliza ujenzi wa sgr mpaka malaba bado kwa kutumia reli ya sgr tunaweza safirisha kwa gharama ya chini sana mpaka mwanza na ukafika Uganda kwa bei ya chini ya Ile ya sgr Kenya kutokana -
1) gharama ya ununuzi wa mafuta na umeme , gharama ya diesel Inaweza kuwa 3 ya gharama ya umeme. Kuna bei tukiweka wakenya hawataweza kuweka kamwe au kushuka .
2 sgr kukosa wider market au mzigo wa kurudi bandarini hivyo kutegemea mzigo wa bandari tu, sisi pale isaka kutakuwa na mzigo wa nickel kutokea kabanga iliyopo kagera , pia kuna mizigo ya cobalt na kadhalika kutoka Kongo na Burundi.
Kama tukiweka bei ya usd 700 kwa container la 20ft mpaka mwanza plus 450usd ya kuvusha kwa maji mpaka portbell , yaan dar Uganda isizid 1300 lazima wateme mbung'ooo
Kuna wagons ambazo huwa zinaweza kutumiwa kwenye reli tofauti tunaweza zitumia hizoNakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ile jambo moja makini ni kuhusu handling. Lift on na lift off ... Kama zitatumika reli za standard tofauti au kama zitatumika reli then Bus au reli ya aina nyingine. Hapo kunakuwa na additional cost na pia risks ya ku secure mzigo kwa kufanya proper lashings.
Kwa MGR yetu unaona kabisa hakuna double handling walaaa mambo ya lashings and unleashings.. kikubwa tu hapo ni assurance ya locomotive za kutosha na wagon za kutosha bhaas.
Sikuwahi kukutukana ila ngoja nikuite MSENGE kwa mara ya kwanza.Spoken like a true quack, bongoslum just like many African countries has a very high shortage of radiology machines (MRI & CT Scans). Lack of infrastructure, radiologists and high cost of imaging isikufanye ufikirie kama pumbavu, eti people don't need radiology services. MRI for example are very crucial in diagnosing crucial body organs. Now I understand mbona public hospitals zenu nyingi haziwezi kuperform surgeries on critical internal body organs. It's because they lack proper infrastructure, ndio kwa maana unadhani 14 MRI Machines are enough for a country with almost 70 million people.
Tanzania hospitali zinafanya kazi kwa mpangilio.Spoken like a true quack, bongoslum just like many African countries has a very high shortage of radiology machines (MRI & CT Scans). Lack of infrastructure, radiologists and high cost of imaging isikufanye ufikirie kama pumbavu, eti people don't need radiology services. MRI for example are very crucial in diagnosing crucial body organs. Now I understand mbona public hospitals zenu nyingi haziwezi kuperform surgeries on critical internal body organs. It's because they lack proper infrastructure, ndio kwa maana unadhani 14 MRI Machines are enough for a country with almost 70 million people.
Mpuuzi huyo hajui hata hizo Magnetic resonance imaging kazi yake nini,anadhani hivyo ni kama vipimo vya rapid test kuwa vinatumika often.punguza kelele leta hizo 19 MRI zilizobaki!
VSVituko hivi mnaendelea navyo?
View attachment 3411031
Unatuambia kitu kila mtu anajua, the same system applies to Kenya too. Ama unadhani hatujui maana ya referral hospital, Kenya ina over 50 referral hospitals kwa hivyo hakuna kitu mpya unatuambia. Unatuambia MRI sio machine za kukaa hospitali zote, sasa ebu imagine mtu amepata ajali ya barabarani and they are in urgent need for an MRI, bado ataanza kuzungushwa eti sijui aendee kilomita mia tatu kutafuta tu MRI scan. Tumia akili Mr. Quack Clinical Officer, wacha kuletea nchi yako aibu.Tanzania hospitali zinafanya kazi kwa mpangilio.
Kama jambo limezidi utapewa referral uende hospitali ya wilaya,likizidi unapewa kwenda hospitali ya mkoa ama hospitali ya kanda.
Kila hospitali kulingana na hatua yake imewekwa vifaa vyake na aina ya matibabu yanayopatikana.
Ila Tanzania imehakikisha hospitali za kikanda zina mashine zote muhimu kwaajili ya vipimo na matibabu.
Uwe unaelewa sio unakurupuka na kuropoka mpuuzi wewe.
Hata hujui Tanzania hospitali zake zinafanya kazi kwa namna gani.
Mathalan Dar ukienda Temeke ukitizamwa ikihitajika vipimo zaidi utapewa referral uende MUHIMBILI Kesha urudi na majibu.
Ukiwa Kilimanjaro utaambiwa KCMC.
Ukiwa Mwanza utaambiwa Bugando.
Hizo mashine sio za kukaa Kila hospitali,nahisi hata matumizi yake huyajui unaropoka tu hapa.
Wewe ndio msenge, how can you justify that 14 MRI Machines are enough for a population of close to 70 million people. We live in a modern world today where the use of MRI is gaining more traction and is very critical for proper diagnosis. Hata kama unatetea nchi yako, usiwe mjinga bana.Sikuwahi kukutukana ila ngoja nikuite MSENGE kwa mara ya kwanza.
Nimesema saa ngapi kuwa hospitali zetu haihitaji MRI??
Usinilishe maneno mpumbavu wewe.
Nimesema Tanzania imenunua hizo mashine kwa kulingana na mahitaji.
Unajua Tanzania Ina hospitali za kanda ngapi?
Je kanda inahudumia hospitali ngapi?
Unajua mfumo wa huduma za afya za Tanzania?
Au unaropoka tu!?
Au ulitaka Kila hospitali iwekwe MRI!?
Muda mwingine ficha UPUMBAVU na USENGE wako.
Tanzania haifanyi kazi kwa sifa za kijinga kama Kenya. India yenye watu 1.5b ipo na MRI less than 200. Unadhani MRI wanagawiwa watu kama bag ya unga?Wewe ndio msenge, how can you justify that 14 MRI Machines are enough for a population of close to 70 million people. We live in a modern world today where the use of MRI is gaining more traction and is very critical for proper diagnosis. Hata kama unatetea nchi yako, usiwe mjinga bana.
Inaonekana hata nayozungumza huyaelewi.Unatuambia kitu kila mtu anajua, the same system applies to Kenya too. Ama unadhani hatujui maana ya referral hospital, Kenya ina over 50 referral hospitals kwa hivyo hakuna kitu mpya unatuambia. Unatuambia MRI sio machine za kukaa hospitali zote, sasa ebu imagine mtu amepata ajali ya barabarani and they are in urgent need for an MRI, bado ataanza kuzungushwa eti sijui aendee kilomita mia tatu kutafuta tu MRI scan. Tumia akili Mr. Quack Clinical Officer, wacha kuletea nchi yako aibu.
😂😂😂😂😂😂Itoshe kusema wewe ni zwazwa.Wewe ndio msenge, how can you justify that 14 MRI Machines are enough for a population of close to 70 million people. We live in a modern world today where the use of MRI is gaining more traction and is very critical for proper diagnosis. Hata kama unatetea nchi yako, usiwe mjinga bana.
Msameheni kaka hata hajui matumizi ya hiko kifaa.Tanzania haifanyi kazi kwa sifa za kijinga kama Kenya. India yenye watu 1.5b ipo na MRI less than 200. Unadhani MRI wanagawiwa watu kama bag ya unga?
Unataka kila mtanzania awe na MRI yake nyumbani. Kwikwikwikwi As usual kenyans are stupid
Kaka maelezo ya matumizi haya hapa. Wala hawatusumbui wanatafuta sababu za kujifariji ili wapoze maumivu.Msameheni kaka hata hajui matumizi ya hiko kifaa.
Hiyo MRI ni ya kutizama viungo vya ndani kwa kiwango kikubwa zaidi.
Upigaji picha wa viungo vya ndani wa MRI ni wa ufanisi kuliko CT scan na X-ray.
Ila kwanza inaangalikana tatizo liko wapi na je linaweza kuangalika kwa x-ray au CT au MRI?
Kama ni la ndani zaidi basi MRI itahusika ndio ijulikane upasuaji pia utafanyikaje.
Na hivi vipimo havifanyiki mara kwa mara ndio maana unakuta eidha zinawekwa kwenye hospitali za kanda kama TZ .
Ili ziweze kuhudumia kanda nzima.
| Feature | X-Ray | CT Scan (Computed Tomography) | MRI (Magnetic Resonance Imaging) |
|---|---|---|---|
| Technology | Electromagnetic radiation | Multiple X-rays + computer processing | Strong magnetic fields + radio waves |
| Radiation Exposure | Yes (low dose) | Yes (moderate to high dose) | No (safe for long-term/children/pregnant women) |
| Best For | Bones, lungs, fractures | Bones, brain, chest, abdomen, trauma, cancer staging | Soft tissues, brain, spinal cord, muscles, ligaments |
| Image Quality | 2D images, limited detail | 3D cross-sectional images with better detail than X-ray | Very detailed soft tissue contrast |
| Speed | Fast (1–5 minutes) | Medium (5–10 minutes) | Slower (30–60 minutes or more) |
| Cost (approximate) | Low | Moderate | High |
| Portability | Highly portable (can be mobile units) | Less portable | Not portable |
| Common Uses | Bone fractures, chest infections | Stroke, trauma, tumors, internal bleeding | Brain lesions, spinal injuries, ligament tears, tumors |
| Contraindications | Rare | Not recommended for frequent use due to radiation | Not safe with metal implants, pacemakers |
Na hizo cities hata sio government owned ni za wazungu na 1 ya uhuru for money laundering ya ufisadi, wanazika billions of money kwa kitu ambacho wanatumia mara 3 kwa mwaka 😂😂 hivi viwanja vitatumika zaidi kwa government functions zaidi ya commercial functions na vitawapa hasara kuvihudumia na bado ni masikini, viwanja vya FIFA WC kule SA tu vingi vimetelekezwa na SA wana uchumi mkubwa zaidi ya Kenya
Hii Talanta wangeijenga hata Mombasa washare hasara tena iwe 30k seaters hiyo pesa nyingine wafanye renovations kwenye hayo mapagale yao, nyayo na Kasarani vilitosha kabisa for naislum
Ni rahisi kutabiri kwamba talanta itakuwa pagale mana haikuhitajika Kenya, kwanza Kenya sio football country, ligi yao yenyewe ya mpata mpatae alafu wanajenga uwanja kama wa Mkapa ili iweje? Hawa ni wajinga sn, it's better wangejenga viwanja vya riadha.
Kenya hakuna kitu kama kanda, Hospitali zinapangwa na levels. Kwa dunia ya sahii hospitali yeyote kubwa inafaa kua na proper radiology department with Xray, CT Scan and MRI machines. Bongoslum amabayo ni almost two times the size of Kenya ina 14 MRI machines pekee na unataka tuamini hakuna mtu anacover over 300km kutafuta MRI services, kwani unadhani bongoslum inatoshana na Lesotho ama. Kenya county kama West Pokot which is very marginalized ikona a proper radiology department.Inaonekana hata nayozungumza huyaelewi.
Kuna hospitali za rufaa na Kuna kuandikiwa rufaa.
Unaweza ukaandikiwa rufaa kutoka hospitali ya rufaa kwenda hospitali ya Kanda.
Mna hospitali za kanda ngapi?
Nani kakwambia kwenda hospitali za kanda inahitaji utembee kilometa 300+??
Hilo jeraha la ajali lilishindikanika kutumia x-ray kwanza hadi ihitajike MRI!?
Inapofanyika patient management ndio inajulisha kama inahitajika vipimo zaidi ama laah.
Kuna hospitali za rufaa na Kuna hospitali za kanda.
Embu soma kwa uelewa.
Naona wewe ni fala kama waziri wenu wa afya amabaye anajivunia bongoslum kushika nafasai ya nane kwa MRI machines in Africa. Yani kwenu Africa ndio yardstick. 🤣 🤣 🤣 Enyewe sasa naelewa mbona bado hamjui importance ya MRI machines.😂😂😂😂😂😂Itoshe kusema wewe ni zwazwa.
Umewahi kufanya kazi kituo chochote Cha afya?
MRI inahitajika kutumika kwa vipimo gani?
Tuanze hapo kwanza.
Nipe jibu.
Mbona hamleti evidence ya Ukunduni kumiliki MRI 20?Naona wewe ni fala kama waziri wenu wa afya amabaye anajivunia bongoslum kushika nafasai ya nane kwa MRI machines in Africa. Yani kwenu Africa ndio yardstick. 🤣 🤣 🤣 Enyewe sasa naelewa mbona bado hamjui importance ya MRI machines.
View: https://x.com/MwananchiNews/status/1937097857598632342
Unaropoka kiasi hujielewi.Kenya hakuna kitu kama kanda, Hospitali zinapangwa na levels. Kwa dunia ya sahii hospitali yeyote kubwa inafaa kua na proper radiology department with Xray, CT Scan and MRI machines. Bongoslum amabayo ni almost two times the size of Kenya ina 14 MRI machines pekee na unataka tuamini hakuna mtu anacover over 300km kutafuta MRI services, kwani unadhani bongoslum inatoshana na Lesotho ama. Kenya county kama West Pokot which is very marginalized ikona a proper radiology department.
View: https://x.com/SimonKachapinK/status/1925157669473603760