Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,227
- 107,851
Machine ilinunuliwa 2013 huyo alifunga yake 2011 pengine ndio haitumiki.
I can't waste my time posting more than 20 MRI machines in public hospitals, hio time ndio sina, kama unapinga ministry of Health tembelea hizo hospitali uconfirm.Namba 4.
Endelea
So, Korogocho haijafikiwa na GDP kubwa?That is the Korogocho slum you keep talking about and its improving rapidly. Meanwhile, most of Dar looks worse than this. GDP yetu sii kubwa, ni $131B pekee. Hiyo yenu ya $400B according to Chamoto ndio kubwa 🤣 🤣
wacha kelele basi hizo MRI si kweli!I can't waste my time posting more than 20 MRI machines in public hospitals, hio time ndio sina, kama unapinga ministry of Health tembelea hizo hospitali uconfirm.
Huna ushahidi kuonesha kuwa Wasukuma wanamchukia. Wasukuma/Wanyamwezi ni zaidi ya 20M. Weka ushahidi kuwa wasukuma wanamchukia.Kwahiyo kama Mabeyo alisimamia ndio Wasukuma walimpenda? Hivi unajua Mabeyo alifuata
Katiba ya nchi?
GDP ya 400 billion dollars na mkona 14 MRI machines and 40 CT scan pekee. 🤣 🤣 🤣Tanzania kwa report ya October 2024 iko na:-
1. Altrasound machines - 970
2. X-ray machines - 469
3. MRI machine - 14
4. CT scan machines - 40
5. PET scan machines - 3
Hizi zote ni government owned.. hakuna uwekezaji binafsi hapo. 👇🏾 Nishati | News.
Si kweli na ni ministry of Health imesema. 🤣🤣wacha kelele basi hizo MRI si kweli!
Huna hizo machines, maelezo yasiwe mengiI can't waste my time posting more than 20 MRI machines in public hospitals, hio time ndio sina, kama unapinga ministry of Health tembelea hizo hospitali uconfirm.
Kenya iko na ngapi, nimeona umepost moja tu. 🤣🤣🤣 the rest ni maneno ya kwenye kanga. Vipi unaimba taarabu siku hizi.?GDP ya 400 billion dollars na mkona 14 MRI machines and 40 CT scan pekee. 🤣 🤣 🤣
Wewe ndio unajua kuliko MOH. Sawa.Huna hizo machines, maelezo yasiwe mengi
Kenya iko na ngapi, nimeona umepost moja tu. 🤣🤣🤣 the rest ni maneno ya kwenye kanga. Vipi unaimba taarabu siku hizi.?
Imefikiwa na kajidipii ketu ka $131B. Sisi hatuna uwezo wa GDP ya 400B 🤣So, Korogocho haijafikiwa na GDP kubwa?
Kwa Sasa hakuna Tena ule msururu wa Meli Coco beach zikisubiri kuingia Bandarini. DP wame funga mitambo mipya wana uwezo Hadi wa kuhudumia meli nyingi kwa wakati mmoja. Kuna crane zinapakua mzigo melini na kuweka Yard direct.Hiv zile meli za coco beach ni uzembe au bandari haitoshi?
Ur CS anasema all public hospitals while unasema 21 hospitals! Tumsikileze nani?
Hivi kwanini wakenya mkimaliza kunya huwa hamsafishi anus kwa maji? Mnatembea na kimba kwa anus.Wewe hata Samia akienda choo kukunia utasema Wakenya wanaumia.
tunataka hospitali za umma sio private bana.