Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sihitaji renders nachotaka kuona majengo yaliyosimama nairobi over 20 uko tayari twende kazi😀😀

usiwe muoga wewe ni mwanaume bana😛😛
Ushaanza kutafuta visababu. No. 1 mpaka 34 kila kitu kiko wazi
 
4b6e56a6d32dbd571f5ae164cf82fd95.jpg
some of houses in msa
How do you feel when your house looks exactly the same way as your neighbor's?! I hate Estates.
 
Ushaanza kutafuta visababu. No. 1 mpaka 34 kila kitu kiko wazi
nakuuliza uko tayari tuanze jengo moja baada ya moja tena kwa picha sio maneno majengo yaliyosimama nairobi uko tayari😀😀😀😀😀

unanionesha renders hahahha😛😛😛😛
 
Ulitaka over 20+. Britam ni 21flrs.... haya twende kazi.
No side-shows
haya tuanze over 20 weka jengo naweka jengo twende kazi tuache maneno mengi😀😀😀😀😀😀

sitaki render usivuruge narudia no renders nataka majengo yaliyosimama nairobi
 
nakuuliza uko tayari tuanze jengo moja baada ya moja tena kwa picha sio maneno majengo yaliyosimama nairobi uko tayari😀😀😀😀😀

unanionesha renders hahahha😛😛😛😛
No. 1 mpaka 34 sote twajua ni majengo yaliyosimama tisti. Kama kuna pingamizi au tashwishi ya jengo lolote sema
 
unajua maana ya kusimama ???? 😀😀😀😀
yamekwisha ujenzi ndio maana yake

unajua kwann nafanya hvi kwasababu mulishangaza dunia nssf yenu ilipopunguzwa floor kutoka 30 kwenda 15 sasa usije tuonesha jengo la 30 alaf kesho tukaskia limeishia 14
 
haya tuanze over 20 weka jengo naweka jengo twende kazi tuache maneno mengi😀😀😀😀😀😀

sitaki render usivuruge narudia no renders nataka majengo yaliyosimama nairobi
mimi sio mjinga. nimekuwekea yote kwa mpigo maana sitaki nipoteze wakati, tufike katikati uanze kulialia
 
nasema weka jengo moja baada ya moja kwa picha tuanze mm na wewe unaweka na mm naweka majengo yaliyokamilika nairobi tuanze acha uoga😀😀😀
 
unajua maana ya kusimama ???? 😀😀😀😀
yamekwisha ujenzi ndio maana yake

unajua kwann nafanya hvi kwasababu mulishangaza dunia nssf yenu ilipopunguzwa floor kutoka 30 kwenda 15 sasa usije tuonesha jengo la 30 alaf kesho tukaskia limeishia 14
Kuanzia No. 1 mpaka 34.... single out building below 20flrs.

Sitaki sideshows
 
unajua maana ya kusimama ???? 😀😀😀😀
yamekwisha ujenzi ndio maana yake

unajua kwann nafanya hvi kwasababu mulishangaza dunia nssf yenu ilipopunguzwa floor kutoka 30 kwenda 15 sasa usije tuonesha jengo la 30 alaf kesho tukaskia limeishia 14
hahahahahaha.... jamaa, chekini msee analia refer apige firimbi game iishe
 
Back
Top Bottom