Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,080
- 5,487
Using Occam’s razor theory, I know you wanna me talk about your new shoes . Ok there you go . We all know you bought new shoes. Happy now?.. I hope that floats your boat..🤣🤣🤣🤣
West valley sugar factory, Kericho county under construction..Kilombero sugar factory 👇🏾View attachment 3408337View attachment 3408335
🤣 🤣 🤣 🤣 Brother unahangaika sana. Sukuma/Nyamwezi is a society and Language not a Tribe. Hapo kwenye maelezo yako Imeandikwa kabisa People of North lakini unajizima data hutaki kukubali.Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame anajeuri! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji1
View attachment 3408334
Using Occam’s razor theory, I know you wanna me talk about your new shoes . Ok there you go . We all know you bought new shoes. Happy now?.. I hope that floats your boat..🤣🤣🤣🤣
Capacity? Huwezi kufananisha Kilombero sugar na vitu vya ajabu ajabu!West valley sugar factory, Kericho county under construction..
View attachment 3408343
Hizo unaweka Prompt za AI kaka. Sukuma/Nyamwezi is not a tribe. Ni kama kusema Waswahili ni tribe.Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame ana jeuri sasa! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji !!
View attachment 3408334
View attachment 3408339
View attachment 3408340
Unajaribu kulinganisha vidakwa/ vikogwa na Embe dodo.? KSC ltd ni kampuni kubwaa inazalisha sukari tani 120k annually una jaribu kulinganisha na mabati ya hako kadubwana mnajenga sahii.? 🤣🤣 👇🏾 Home - Kilombero Sugar Company - An Illovo Sugar Africa Company.West valley sugar factory, Kericho county under construction..
View attachment 3408343
Ndio maana Sukuma/Nyamwezi japo kuwa ni more than 20% ya popluation ya Tanzania hawana ubaguzi wala kutaka kutumia population yao kama fimbo katika Taifa kama walivyo huko Kenya kwa wakikuyu.Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame ana jeuri sasa! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji !!
View attachment 3408334
View attachment 3408339
View attachment 3408340
Hakuna Batu Tribe yenye System hii: Ndio maana Mama Samia imekuwa rahisi sana kukubalika kwa Wasukuma/NyamweziUnajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame ana jeuri sasa! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji !!
View attachment 3408334
View attachment 3408339
View attachment 3408340
Nakuongezea. Tutsi are Nilotic lakini wanazungumza Kibantu why? And why Tutsi are sometimes mixed with Kushite and Nilotic? Katika maeneo wanaokaa Watutsi hakuna jamii ya Kushite, Jamii ya Kushite unakuja kuipata Cetral Tanzania (Iraqw, Rangi and Nyaturu).Unajua kwann Mkuu wa Majeshi aliongea haya?
View: https://youtu.be/Vmg2WtLsIY4?si=JS6Xhb1fUsnQoUZr
Hamna upuuzi wa assimilation wengi wao wana id cards za walipotoka! Ndio maana Kagame ana jeuri sasa! BTW Sukumas r Bantus msituletee ujinga! Nilotic tribes Tanzania wanajulikana! Tanzania haina cushites ni wahamiaji !!
View attachment 3408334
View attachment 3408339
View attachment 3408340
Hio magomeni ina Appartments nyingi na ofisi nyingi zinakuja kwa kasí siku hiz.Hii ni picha pendwa ya kujipa faraja ya bwana Nicxie 👇🏾hii ni magomeni View attachment 3408143anyways.. I would like to update him .. this is the current view 👇🏾View attachment 3408144
Sure.Hio magomeni ina Appartments nyingi na ofisi nyingi zinakuja kwa kasí siku hiz.
Kiuhalisia panua ubongo wako.Enyewe wewe ni ng'ombe. Mnasikia tu $450 B hamjui hiyo ni pesa kiasi gani. Tulieni na hako ka GDP ka $85B mfanye bidii labda mtafika $100B by 2030.
Wacha nikupe mfano. Hii Iran ambayo wenzako wamekuwa wakiishobokea ina GDP ya $341B pekee. Iran yenyewe hiyo imetoa USA na Israel kijasho. Iran yenyewe ina population ya 91M which waay more than Bongoslum. Sasa kulingana na wewe hii bongoslum moja ambayo naijua imeishinda Iran kiuchumi? Hivi una akili wewe? 🤣 🤣
Hapa ona capital ya Iran. Unaweza linganisha Darislum na hii?.
Mji wa pili wa Iran huu. Sasa useme Mwanza ulinganishe na Mashdad
Mji wa tatu huu, ati sasa Arusha ulinganishe na Isfahan
Nchi nyengine hii hapa ni Columbia. GDP $427B ingawa population kidogo chini ya Bongoslum but according to you, mko ligi moja na Columbia. 🤣🤣🤣
Bogota, Columbia
Mji wa pili Medellin. Ati sasa ulinganishe na Mwanza.🤣🤣🤣
Mji wa tatu huu Cali eti sasa ulinganishwe na Arusha.🤣🤣🤣
Alafu nikikuita mwendawazimu uniita mbaya. mwaiofhawaii kuja uchukue hii ng'ombe uipeleke malishoni bwana. 🤣🤣🤣
Aaah hapana Rwanda na Burundi hapana,iwe tu Comoros.Halafu mimi naona Burundi, Rwanda na Comoros tuongee nao Tuwe nchi moja wajiunga kwenye United Republic of Tanzania. Haya ni mawazo yangu na CCM kiwe chama Tawala.
Tutsi r Bantus wacha ujinga! Ethnicity ni kitu hujui!Nakuongezea. Tutsi are Nilotic lakini wanazungumza Kibantu why? And why Tutsi are sometimes mixed with Kushite and Nilotic? Katika maeneo wanaokaa Watutsi hakuna jamii ya Kushite, Jamii ya Kushite unakuja kuipata Cetral Tanzania (Iraqw, Rangi and Nyaturu).
But majirani wa hao Kushite ni Nilotic ambao ni Masai na Datoga. Upande wa Magharibi Utakutana na Nyiramba, Sukuma and Nyamwezi wanaozungumza Kibantu.
Baada ya Kuwamaliza wasukuma Ukiwa unaelekea Magharibi unakutana na Tutsi. Tueleze sasa hapa.
No. Tutsi are not Bantu kwa sifa zote lakini wanazungumza lugha ya kibantu. Taja sifa moja kuthibitisha kuwa Tutsi are Bantu. Tutsi are Nilotic mixed kwa mbali na Cushite. Huu ni ukweli mchungu watu hawataki kuukubali. Ndugu zao ni Datoga.Tutsi r Bantus wacha ujinga! Ethnicity ni kitu hujui!
Why Comoros not Burundi and Rwanda. Au kwasababu Comoros wanauhusiano na waarabu?Aaah hapana Rwanda na Burundi hapana,iwe tu Comoros.
Hizo Rwanda na Burundi ni vizazi korofi sishauri hata kidogo.