Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahah with $400 lb GDP revenue yao inafaa kuchezea more than ksh 8 Trillion and above
 
Kwani umeskia hii nchi ni shamba la Bib? FYI kinachotokea Eastern Congo ni mwendelezo wa kuwaachia wanyarwanda leo hii wanataka kujimegea eastern DRC! Kuwa mwangalifu sana na unachoongea!
Mimi ningekuwa askari siwezi kamata watu wamechoka hivi, tena wanaenda kutafuta vibarua vya kulima mashamba kwa bei chee๐Ÿ˜ข

Ya DRC Congo ni tofauti sana na hili. Watutsi na ardhi yao ilimegwa na wakoloni pande ikapelekwa Zaire na nyingine Dutch East Afrika present day Tanzania. Wakoloni wakamega tena sehemu za Tanzania na kuunda Rwanda na Burundi wakapewa Wakoloni wa Kibelgia. DRC hawataki kuwatambua na wanataka waondoke DRC bila ardhi yao, swala ambalo haliwezekani.
However, what you say inaweza pia kutokea if only a huge enthinic group fromoutside kuwa concentrated in one place.
 
KESHO HIYO - WAKENYA HAWANA DIRA
๐—ฅ๐—”๐—œ๐—ฆ ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—” ๐——๐—œ๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ข 2050

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป atazindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 baada ya kukamilika kwa mchakato wa zaidi ya miaka miwili (02).

Mchakato wa kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ulianza Februari - Machi 2023 kwa maandalizi ya miongozo ya uandishi na kuzinduliwa rasmi tarehe 03 Aprili 2023 na Julai 17 Rais Dkt. Samia ataizindua jijini Dododma ambapo dira hiyo itaongoza maendeleo jumuishi ya viwanda na TEHAMA hadi mwaka 2050.

Kupitia Dira hiyo pia Tanzania itakuwa nchi ya mfano katika ustahimilivu, ubunifu, ustawi na diplomasia barani Afrika na duniani, ikichochewa na rasilimali zake, miundombinu imara na nguvukazi mahiri na yenye motisha.

Vilevile, inatarajiwa kuwa nchi yenye kipato cha kati ngazi ya juu, ikiwa na pato la taifa la dola za Marekani trilioni moja, na wastani wa pato la mtu mmoja la dola za Marekani 7,000 kwa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ