Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi only lack enough stadiums
Other things ziko in abundance. I'll with stadiums around it's metro one at limuru, thika, ruiru, machakos, ngong etc afcon inahost vizuri sana
Nairobi si kama iyo Ibadan yenu hapo chini takataka ushago from A to Z.
 
In Tz ni mwendo wa clean energy tuu. huko tushatoka kitambo tangu 90s
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atatumia kerosene kama source of energy sababu ni vey expensive compared to gas, bei ya gas ni 19k wakati kerosene lita ni 2.7k na inaweza isitoshe mahitaji ya siku

Kunyaland gas ni bei ghali mpaka watu wanaona kutumia kerosene ni cheap, imagine how fucked up hii Shithole is.
 
Nina miaka zaidi ya kumi sijaona mtu akinunua kerosene. 😂😂😂
Kwanza ukienda dukani ukauliza mafuta ya taa kila mtu atashangaa unataka kufanyia nn, maduka mengi hakuna mafuta ya taa siku hz, hata watoto wa 2000s wengi hawayajui, ngoja leo nijitoe ufahamu nikaulize dukani nione kama bado yapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
AI says otherwise
 

Attachments

  • Screenshot_20250715_125803_DeepSeek.jpg
    231.2 KB · Views: 26
AI says otherwise
OpenAI CEO Sam Altman recently warned against the trust users place in the company’s AI chatbot, ChatGPT. Speaking at the inaugural episode of OpenAI’s official podcast, Altman said that he finds it “interesting” when people put “high degree of trust” in ChatGPT. Noting that AI is infallible and can produce misleading or false content, he said that it should not be trusted much. “People have a very high degree of trust in ChatGPT, which is interesting, because AI hallucinates. It should be the tech that you don't trust that much,” Altman said about OpenAI’s own ChatGPT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…