President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,543
- 94,041
Issue siyo engine. Mambo mnaongea too theories. Siyo ukweli. Unapotoshwa na wewe unakubali.Bro mzee wangu anafanya kazi relini na hilo pia nalifahamu.
Anachosema bro ni ukweli,Mgr inaweza kuvuta behewa nyingi ukiongezea engine ya kuvuta,usibishe embu jaribu kupanua ubongo kidogo kuruhusu mawazo mapya kaka.
Ndo maana nakuambia hakuna unalojua umestick kwa ulichoambiwa na kusikia ,.Usilazimishe ujinga wako ukawa ukweli. Hakuna cha nje ya box, kinachokusumbua ni ujinga na hutaki kujifunza. Kubali kueleweshwa na watu wanaojua.
Huyu kakariri kuwa mgr haiwezi beba zaid hizo behewa tajwa au kwa akili yake anadhani hata hiyo sgr itaweza beba mzigo wa tan 10,000 kwa kichwa kimoja tu🤣🤣🤣🤣🤣Bro mzee wangu anafanya kazi relini na hilo pia nalifahamu.
Anachosema bro ni ukweli,Mgr inaweza kuvuta behewa nyingi ukiongezea engine ya kuvuta,usibishe embu jaribu kupanua ubongo kidogo kuruhusu mawazo mapya kaka.
Broo unazingua unajifanya unajua mzee kumbe huna unachojua.Issue siyo engine. Mambo mnaongea too theories. Siyo ukweli. Unapotoshwa na wewe unakubali.
Weka ushahidi hapa mgr ikivuta mabehewa 100. Huu ujinga mnapotosha watu.
Very stupid thinking. Watu kama nyie mkipewa nafasi mnalitia hasara taifa.
Pale Tabora chuo cha reli tumeyasoma haya wala hujaongopa.Ndo maana nakuambia hakuna unalojua umestick kwa ulichoambiwa na kusikia ,.
Huyu kakariri kuwa mgr haiwezi beba zaid hizo behewa tajwa au kwa akili yake anadhani hata hiyo sgr itaweza beba mzigo wa tan 10,000 kwa kichwa kimoja tu🤣🤣🤣🤣🤣
Tembea uone ndugu huu ni mfano wa mgr. Ebu hesabu mabehewa hapoIssue siyo engine. Mambo mnaongea too theories. Siyo ukweli. Unapotoshwa na wewe unakubali.
Weka ushahidi hapa mgr ikivuta mabehewa 100. Huu ujinga mnapotosha watu.
Very stupid thinking. Watu kama nyie mkipewa nafasi mnalitia hasara taifa.
Hiyo yeye anachojua ni kusifia tu hawez jiongeza, hata leo hii ukimwambia hiyo mgr ikisimamiwa vizuri Inaweza leta nyingi sana kuliko tunavyoona leoPale Tabora chuo cha reli tumeyasoma haya wala hujaongopa.
Ila jamaa anaona kisa halijafanyika basi haliwezekaniki.
Kama hapa mnaongea nadharia tu na si uhalisia. Hebu ngoja nikuchanganulie mambo kitaalamu ili uweze kuelewa.Mkuu maelezo yako yameeleweka sana hususan sehemu mbili.
Kwanza mahesabu ya abiria na mizigo,HUWEZI ukasema unapakia na kupakua mizigo Kila siku hapana huo ni uongo.
Kuna siku mizigo itakua haipo na pia Kuna duration ya kupakia na kupakua mizigo utakapoufikisha.
Ilhali treni ya abiria inaweza ikapiga go and return hata mara tatu nne na ya mizigo haijafanya hivyo.
Kama treni ya abiria ikasimamiwa ipasavyo basi italeta faida pia sana tu,mbona hilo tunaliona hata kwa shirika la reli la China?
China Ina wasafiri wengi sana hususan kwa njia ya reli na shirika linaingiza faida vizuri tu.
Pia ni sahihi mgr Ina uwezo wa kuvuta mzigo mkubwa kama ikaunganishwa engine zaidi ya moja kupata kusapotiana hilo lipo na linawezekana japo mwendo hautakuwa WA haraka kiasi hicho.
Maelezo yako yameeleweka sana Wala hata sio kidogo.
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Demand ya abiria | Idadi ya wasafiri ni ndogo ukilinganisha na nchi kama China – mizigo huleta kipato kikubwa zaidi. |
| Operating cost | Treni za abiria zinahitaji huduma zaidi (vyakula, wafanyakazi, usafi, ratiba nyingi) na mara nyingi hazijitoshelezi kipesa bila ruzuku ya serikali. |
| China vs Tanzania | China ina idadi ya watu 1.4B+, viwanda vingi, na urbanization kubwa – Tanzania bado ni nchi ya kati kwa kipato na idadi ya watu. |
| Mizigo hulipa zaidi | Treni moja ya mizigo inaweza kubeba tani 1,000–7,000 kwa safari moja – ikilinganishwa na treni ya abiria yenye watu 500–1000. |
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Axle Load ndogo | MGR ya Tanzania ina axle load ya takriban 16 tons/axle tu. Hii ina maana uwezo wa kubeba mizigo mikubwa ni mdogo ukilinganisha na SGR yenye 35 tons/axle. |
| Urefu wa loops na sidings | Stesheni nyingi za MGR zina urefu wa kupishana (loops) mdogo – haziwezi kushughulikia treni ndefu (ya wagons 100+). |
| Nguvu ya reli yenyewe | Miundombinu ya reli (ballast, sleepers, curves, gradients) ya MGR haijabuniwa kwa treni ndefu na nzito – husababisha hatari ya derailment au uchakavu wa mapema. |
| Muda wa kuunganisha injini | Kuendesha injini nyingi inahitaji mfumo wa mawasiliano, udhibiti wa nguvu (traction control) na injini kufanana – changamoto kwa mabehewa ya zamani ya MGR. |
Sasa hii ni MGR ya Tanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣 Make google your friend. Acha kuandika vitu vya nadharia. Ukidhani vinafanya kaziTembea uone ndugu huu ni mfano wa mgr. Ebu hesabu mabehewa hapo
View: https://youtu.be/UASv03bX-aQ?feature=sharedAcha kukariri
Braza umesoma nadharia. Tunaongelea MGR ya Tanzania siyo any MGRBroo unazingua unajifanya unajua mzee kumbe huna unachojua.
Kitu kutokufanyika haimaanishi haiwezekani mzee acha ubishi wa kipumbavu.
Mie nimesoma chuo Cha reli kitengo Cha usafirishaji na hilo lipo.
Una uwezo wa kuunganisha engine zikawa hadi nne na zikavuta mzigo mkubwa kama unaousemea ama kuisaidia treni ipande mlima.
Haimaanishi kisa hilo halijafanyika basi haliwezekani.
Bro usijifanye unajua aisee kubali kupanua kichwa hiko.
| Kipengele | Hali halisi ya MGR Tanzania |
|---|---|
| Axle Load | Ni ndogo (16–18 tons/axle), ukilinganisha na reli za uwezo mkubwa (SGR 35 t/axle) |
| Urefu wa vituo (loops) | Passing loops nyingi ni fupi – haziwezi kupokea treni ya wagons 100 |
| Braking System | Ni ya zamani (pneumatic) – haifanyi kazi salama kwa treni ndefu sana |
| Mteremko na curves | MGR ina kona nyingi na milima (hasa kati ya Morogoro–Tabora) – inahitaji traction control ya kisasa |
| Haijasanifiwa kwa DPU | Distributed Power Unit (injini mbele, katikati, nyuma) haipo kwenye MGR yetu – hii ni teknolojia muhimu kwa treni ndefu. |
Engine mbili mbele zikivuta na mbili nyuma zikisukuma sio? Leta ikiwa na engine moja na mabehewa 100!Tembea uone ndugu huu ni mfano wa mgr. Ebu hesabu mabehewa hapo
View: https://youtu.be/UASv03bX-aQ?feature=sharedAcha kukariri
Jamaa anashinda akiandika kwikwikwi saa zote utadhani ni hearse ya maitiTatizo lako ni uchawa , hufikirii nje ya box,
Sasa wewe kwa elimu yako hiyo ya ugoko unaelewa hata tunachoongelea? Kenya na Engineering ni kama mbingu na ardhi. KwikwikwikwikwikwiJamaa anashinda akiandika kwikwikwi saa zote utadhani ni hearse ya maiti
Point yangu ilikua hapo tu kwenye kuongeza injini basi.Braza umesoma nadharia. Tunaongelea MGR ya Tanzania siyo any MGR
MGR ya Tanzania katika hali yake ya sasa haiwezi kufanya hilo kwa ufanisi, usalama, na kwa mnyororo wa operesheni wa kila siku.
Mawazo yako yapo kwenye nadharia zaidi, Je, Miundombinu ya MGR Tanzania Iko Tayari? jibu ni HAPANA
Kipengele Hali halisi ya MGR Tanzania Axle Load Ni ndogo (16–18 tons/axle), ukilinganisha na reli za uwezo mkubwa (SGR 35 t/axle) Urefu wa vituo (loops) Passing loops nyingi ni fupi – haziwezi kupokea treni ya wagons 100 Braking System Ni ya zamani (pneumatic) – haifanyi kazi salama kwa treni ndefu sana Mteremko na curves MGR ina kona nyingi na milima (hasa kati ya Morogoro–Tabora) – inahitaji traction control ya kisasa Haijasanifiwa kwa DPU Distributed Power Unit (injini mbele, katikati, nyuma) haipo kwenye MGR yetu – hii ni teknolojia muhimu kwa treni ndefu.
Kwa hivyo, hata kama ki teknolojia inawezekana lakini miundombinu yetu ya sasa haiiungi mkono hilo.
Ndiyo, unaweza kuongeza injini hadi nne. Lakini hilo linafanyika kwa mazingira maalum ya miundombinu iliyosanifiwa kufanya hivyo. MGR ya Tanzania kwa sasa haijajengwa wala kujiandaa kuvuta mabehewa 100 kwa usalama na ufanisi wa kiuchumi.
Nani ame celebrate? Tumeweka humu kwaajili yenu sisi tuko juu ya LMIC levelAnd why are you celebrating about it?