President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,537
- 94,021
Kaka tafuta taarifa sahihi badala ya kuweka mawazo yako na matamanio yako. Unapotosha watu humu. Tanzania MGR inafunga 20 wagons, kila wangon inabeba 46 tani, jumla 920 tani kwa trip. Speed yake ni 30–50 km/h. Tueleze treni moja itafika muda gani Mwanza. Kutoka dodoma kwenda mwanza itatumia masaa 16–24Kwani tan 10,000 ni mabehewa mangapi ya mgr?
Au hujui behewa moja ya mgr linabeba tan 40 na inahitaji mabehewa 250 tu ambazo ni kama treni 4 za mgr .
Unaongea theories siyo uhalisia. 🤣🤣🤣🤣 Treni moja ya mgr inafunga mabhewa 20.Kwani tan 10,000 ni mabehewa mangapi ya mgr?
Au hujui behewa moja ya mgr linabeba tan 40 na inahitaji mabehewa 250 tu ambazo ni kama treni 4 za mgr .
Kwanza hakuna anayesema mizigo hailipi ila nimechokuelekeza kuwa hata tukisema usimamie abiria vizuri kwa sasa Inaweza lipa zaid unavyofikiria, inahitaji kupata watu sahihi wakufanya hiyo kazi.Brother unaleta ubishani wa kitoto sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ya SGR ya abiria izidi ya mizigo. This is stupid discusion. Cost ya ujenzi wa SGR ya tanzania estimated at $10 billion (26 trillion Tanzanian shillings). Kwa biashara ya abiria hizo pesa unazirudisha baada ya miaka mingapi?.
Hakuna anayetaka kuonekana anakili ila wewe unashindwa kuiweka uccm wako pembeniUnajitutumua uonekane upo na akili kumbe ni hopeless tu.
Sio hisi inatakiwa ufikirie nje comfort zone.Unaleta maneno ya hisia tu bila ukweli wowote. Mimi ninakuletea taarifa na evidences. Uwezo wa behewa moja ni 120t. Soma hapa:
Hebu soma tare weight ya hayo mabehewa ni ngapi. Ukipata tare weight ya 120 najitla jf.Tanzania’s SGR freight train to begin operations by June
Following the successful trial runs of the standard gauge railway (SGR) freight train, full operations are now set to commence in June 2025.www.thecitizen.co.tz
Axile load ni Tani 35. Behewa moja lipo na Axiles 4. 35x4 = 140ton, 20ton ni uzito wa behewa lenyewe. Then 120t ni uzito wa mzigo.
Acha uchawa kwanzaUnazingua kinyama.
Check hapa behewa linavyoonekana. Lipo na mataili 8, kila Axile ipo na mataili mawili.
View attachment 3403640
ACHA UJINGA KAKA NAKUOMBA UJIELIMISHE HATA KIDOGO GOOGLE BADALA YA KUTUTIA AIBU HUMU JF
Kwahiyo wewe umeambiwa haiwezi funga kichwa kingine ikavuta behewa hata 40 ,Kaka tafuta taarifa sahihi badala ya kuweka mawazo yako na matamanio yako. Unapotosha watu humu. Tanzania MGR inafunga 20 wagons, kila wangon inabeba 46 tani, jumla 920 tani kwa trip. Speed yake ni 30–50 km/h. Tueleze treni moja itafika muda gani Mwanza. Kutoka dodoma kwenda mwanza itatumia masaa 16–24
Ili kubeba 10,000 toni itahitajika trip 11 za MGR.
Soma maelezo haya hapa:
TRC Receives 44 Freight Wagons for Central Line | Embassy of Tanzania in Tel Aviv, Israel
The Tanzania Railway Corporation (TRC) on Wednesday received 44 freight wagons as part of a project to upgrade the country's central line to improve cargo transportation. Works and Transport Minister, Prof. Makame Mbarawa, said at a ceremony to receive the wagons in Dar es Salaam that the...www.il.tzembassy.go.tz
Kwahiyo mgr haiwezi vuta behewa 60 ikiwa na vichwa zaidi ? Unajua chalenji ni kupanda mlima salanda tu na ndo kisa Cha kuweka limit ya hayo mabehewa na bado Kuna alternative ya kuweka vichwa zaid ili kufanya uvutaji uwe mkubwa.Unaongea theories siyo uhalisia. 🤣🤣🤣🤣 Treni moja ya mgr inafunga mabhewa 20.
Chukua 250/20 utapata = 12.5 treni, ~13 treni. Unajua Math kweli?
Mgr Inaweza vuta hata behewa 100 ila itahitaji boost pale salanda sababu ya mlima na lazima iwe na vichwa zaidi ya vinneUnaongea theories siyo uhalisia. 🤣🤣🤣🤣 Treni moja ya mgr inafunga mabhewa 20.
Chukua 250/20 utapata = 12.5 treni, ~13 treni. Unajua Math kweli?
Yanga wanajitangaza sana aisee.
Unaweza ukasema ni wa Qatar airways aiseee.Ukiambiwa hayuko Qatar Airways unaweza ukabisha 😁
Kwako ndege ni kitu cha ajabu eeehh!!! Au sio Nduta.Kuwa watchman kwa airport haimaanishi umepanda ndege.
Kwikwikwi. Unaropoka. Evidence ya haya matapu tapu yako unazitoa wapi?Kwanza hakuna anayesema mizigo hailipi ila nimechokuelekeza kuwa hata tukisema usimamie abiria vizuri kwa sasa Inaweza lipa zaid unavyofikiria, inahitaji kupata watu sahihi wakufanya hiyo kazi.
Tuliwahi sema hivyo hata kipindi Cha ttcl ambayo baadae ilikuwa ikazaaa Zain Africa( mtaji ulipatikana ttcl) na watu kama nyinyi walipinga kabisa kuwa simu haziwezi leta faida matokeo yake Zain ikapata mtaji huku ttcl ikifirisika
Hakuna anayetaka kuonekana anakili ila wewe unashindwa kuiweka uccm wako pembeni
Sio hisi inatakiwa ufikirie nje comfort zone.
Hebu soma tare weight ya hayo mabehewa ni ngapi. Ukipata tare weight ya 120 najitla jf.
Tare weight is the weight of an empty container or vehicle, excluding any cargo or payload. It's essentially the weight of the packaging, container, or transportation device itself. Knowing the tare weight is essential for accurately calculating the net weight of goods being shipped or transported.
Acha uchawa kwanza
Unaropoka. Uwezo wako upo chini ya kiwango. Nimekudharau kuanzia leo. Wewe ni hopeless. Hakuna ushahidi wowote umeweka. Huna tofauti na Teargass anayeishi kwenye UTOPIA.Kwahiyo wewe umeambiwa haiwezi funga kichwa kingine ikavuta behewa hata 40 ,
Hivi unajua wengine mpaka tunamaliza vyuo ndo ilikuwa usafir wetu, inawezekana wewe ndo unaijua mgr sasa hivi
Weka huo ushahidi MGR ya Tanzania ikivuta hizo behewa 100. Unaandika matapu tapu. kwikwikwikwiKwahiyo mgr haiwezi vuta behewa 60 ikiwa na vichwa zaidi ? Unajua chalenji ni kupanda mlima salanda tu na ndo kisa Cha kuweka limit ya hayo mabehewa na bado Kuna alternative ya kuweka vichwa zaid ili kufanya uvutaji uwe mkubwa.
Acha kukariri Kila kitu kinawezekana ila tumeaminishwa haiwezekani.
Malaysia Wana mgr ya abiria inapigwa mpaka 140km/hr ila njoo kwetu sasa.
Tembea uone usikariri
The world's fastest meter gauge train is the KTM ETS (Electric Train Service) in Malaysia. It operates on the West Coast Line, reaching a maximum speed of 140 km/h (87 mph). While other trains may reach higher speeds in test runs, the KTM ETS is the fastest in regular, commercial passenger service on meter gauge tracks.
Naomba waarikishee na huo mfumo na Tanzania tuwe wakwanza kujiungaa huko nchi za afrika hatuwezi kuendelea na hii mifumo ya marekani inatukndamizaa sanaaHivi ni kweli China ametengeneza mfumo wake wa malipo wa CIPS kama vile swift mbona magharibi kwishinei na vikwazo vyo vya kiuchumi
View: https://youtu.be/q1V31teoqYw?si=eGjGYuKwv-EntG13
The moment trc itaanza kumilikiwa kwa mfumo wa hisa maanaa yake ni kampuni binafsi, hainaa maana tenaa ni bora kampuni binafsi zije na mabehwa yao wachaji premium ili kuleta ushindaniiNdo maana kasema TRC SGR iwekwe stock exchange, watu wanunue hisa huko. Wenye shares waamue jinsi ya kumake profits
Serikali isimamie uwajibikaji na kuchukua Kodi zake.
Same with UDART, Air Tanzania, TTCL nk
Tatizo lako ni uchawa , hufikirii nje ya box,Unaropoka. Uwezo wako upo chini ya kiwango. Nimekudharau kuanzia leo. Wewe ni hopeless. Hakuna ushahidi wowote umeweka. Huna tofauti na Teargass anayeishi kwenye UTOPIA.
Umri wako kwanza ni miaka mingapi? Nisije kuwa najadili na katoto kadogo. Kwikwikwi.
Usilazimishe ujinga wako ukawa ukweli. Hakuna cha nje ya box, kinachokusumbua ni ujinga na hutaki kujifunza. Kubali kueleweshwa na watu wanaojua.Tatizo lako ni uchawa , hufikirii nje ya box,
Umeambiwa ulete list you poorest country ukaleta list ya nations with higher population living below poverty line.Fuatalia thread. I am not here to repeat myself. Ask him if I didn't do that
Bro mzee wangu anafanya kazi relini na hilo pia nalifahamu.Weka huo ushahidi MGR ya Tanzania ikivuta hizo behewa 100. Unaandika matapu tapu. kwikwikwikwi
Mkuu maelezo yako yameeleweka sana hususan sehemu mbili.Kwanza hakuna anayesema mizigo hailipi ila nimechokuelekeza kuwa hata tukisema usimamie abiria vizuri kwa sasa Inaweza lipa zaid unavyofikiria, inahitaji kupata watu sahihi wakufanya hiyo kazi.
Tuliwahi sema hivyo hata kipindi Cha ttcl ambayo baadae ilikuwa ikazaaa Zain Africa( mtaji ulipatikana ttcl) na watu kama nyinyi walipinga kabisa kuwa simu haziwezi leta faida matokeo yake Zain ikapata mtaji huku ttcl ikifirisika
Hakuna anayetaka kuonekana anakili ila wewe unashindwa kuiweka uccm wako pembeni
Sio hisi inatakiwa ufikirie nje comfort zone.
Hebu soma tare weight ya hayo mabehewa ni ngapi. Ukipata tare weight ya 120 najitla jf.
Tare weight is the weight of an empty container or vehicle, excluding any cargo or payload. It's essentially the weight of the packaging, container, or transportation device itself. Knowing the tare weight is essential for accurately calculating the net weight of goods being shipped or transported.
Acha uchawa kwanza