President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,683
- 94,351
So you trained unprofessional army? 🤣🤣Uganda army was trained by Tanzania
Hawajui kuwa saba saba ni siku Tanu ilipozaliwa 1954. Hiyo siku imekuwa ikisherehekewa tangu uhuru na iligeuzwa kuwa siku ya maazimisho ya biashara. Wao wameanza 1990. Vile vile ni siku ya Kiswahili duniani. Hata nane nane ni siku tumeisherehekea miaka nenda rudi kama siku ya wakulima. Nyang'au ni watu wa kuiga iga mpaka lugha ya wazungu. Upuuzi mtupu😁😁Wako bize wanaiga kila kitu.
Aisee kwa jeuri aliyokuwa nayo Ruto kutumia Ksh 1.2 bln kujenga kanisa Ikulu sishangai!
Wameiga saba saba hao nyau,soon utawasikia wao ndio walioanzisha sikukuu ya 7/7Wako bize wanaiga kila kitu.
Humu tunabishana na mabipolarEvidence ya kwanza kuwa Sama boy 255 ana uwezo mkubwa wa kufikiri kukuzidi hii hapa.
View attachment 3396587
Evidence ya pili ni ujinga unaouandika leo.
Palestine and Libya suppported Iddi Amin.
We caught their soldiers and sent them back.
VITA YA KAGERA; Majeshi ya Libya yaelemewa na JWTZ nchini Uganda-20
Kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi hakujua uwezo wa kijeshi iliokuwa nayo Tanzania. Askari wake walipata tabu kubwa walipokuwa Uganda.www.mwananchi.co.tz
Hawajui kuwa saba saba ni siku Tanu ilipozaliwa 1954. Hiyo siku imekuwa ikisherehekewa tangu uhuru na iligeuzwa kuwa siku ya maazimisho ya biashara. Wao wameanza 1990. Vile vile ni siku ya Kiswahili duniani. Hata nane nane ni siku tumeisherehekea miaka nenda rudi kama siku ya wakulima. Nyang'au ni watu wa kuiga iga mpaka lugha ya wazungu. Upuuzi mtupu😁😁
Tanzania katika ukombozi wa Comoros dhidi ya France Wazungu wanaijua Tanzania. Wakenya wanatamani sana wao wawe sisi. Lakini Mungu amewakataa.
View attachment 3396633
View attachment 3396634
View attachment 3396636
Wameiga saba saba hao nyau,soon utawasikia wao ndio walioanzisha sikukuu ya 7/7
You can’t be seriously considering this troll😅
Then Shut upSina huo muda Kakabrazaa. Endelea kujifunza historia kwa hekaya za Nyerere kama mwenzako babayao255 . 🤣 🤣
We kima kwani SGR ilianza kazi lini si July 2025 so hozo data ni for six months tuu tena Dodoma service ilichelewa ilianza August. Ila kama ni kujiifariji sawaHizi articles uchwara peleka mbali. I trust your government and statistical body more than your sorry ass beggar.
View attachment 3394800
Kina kipchichir bado hawataki wanapenda kujiliwaza na outdated data.Kutoka world Bank. Tanzania and Kenya are all in the same class has lower middle income countries.
Kwa nini Kenya hupenda kujifurahisha kwa kuita Tz LDC?
View attachment 3394804
Sasa unakataa data ya serikali yenu?We kima kwani SGR ilianza kazi lini si July 2025 so hozo data ni for six months tuu tena Dodoma service ilichelewa ilianza August. Ila kama ni kujiifariji sawa
Haijakataliwa ila kuna hii yenu ikawaje mkasafirisha abiria 699,055 kwa mwaka mzimaSasa unakataa data ya serikali yenu?
Wala haina shida kwa mwaka wa kwanza walisafirisha abiria 699,055 versus 1.4mil 🤣🤣🤣Kina kipchichir bado hawataki wanapenda kujiliwaza na outdated data.
You are like my little biatch! , always craving for my attention and reaction….. Since you bought your new shoes you have been acting like an assh*le!…Lord help us all….🤣🤣🤣🤣
I will bet you anything, he was imitating one of the greatest battle Generals to ever live and one of only five 5 star generals in American history. He led the Second World War for the allies . General Douglas MacArthurHuyo mvuta ugoro kwenye video ya Kwanza anakaa kujua nini kuhusu vita?😂😂😂