concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Tunashukuru mungu mtandaoEndelea kupingana na Serikali yako.😂😂🤣.
All your lies has been laid bare by your government. Thank God for the internet.
Kenya total exports as 2024 11bil usd versus 14 bil usd ya Tanzania in 2024. 🤣🤣🤣🤣Endelea kupingana na Serikali yako.😂😂🤣.
All your lies has been laid bare by your government. Thank God for the internet.
SGR Ukunduni was all success till SGR Dar-Dom started! In short SGR Ukunduni is a complete failure! How can a one year SGR Tanzania beat up an 8 years old SGR in Kundustan n in the year of inauguration? Damn SGR Tanzania carried around 2.5 mln PAX!Tunashukuru mungu mtandao
Kwahiyo kwa Kila mwezi mlikuwa mnasafirisha abiria 58,000 sawa na abiria 1900 kwa siku .
Treni kwa trip zinabeba 1000 ziko na jumla trip 6 kwenda Dom yaan abiria 6000 Yan kwa siku 11 kwa sasa tunasaifirisha abirisha wa mwez kipindi mnafungua🤣🤣🤣🤣
View attachment 3394884
So hiyo pia ameongeza number mbele? Then let’s say he is younger than 23 yrs, happy now?
Na umeoga leo wewe chokoraa?
Unafirisha tani 5mil halafu unapata mapato ya 862,133 kweli si Bora tuwaachie wa malori yaan usafirishe lorry Toka Mombasa to Nairobi kwa ksh 779🤣🤣🤣🤣🤣SGR Ukunduni was all success till SGR Dar-Dom started! In short SGR Ukunduni is a complete failure! How can a one year SGR Tanzania beat up an 8 years old SGR in Kundustan n in the year of inauguration?
Teargass anajua ila ana troll!
Ukichukua abiria wa 2017 na 2018 kwa Kenya bado hawafikii idadi ya abiria waliosafirisha na trc kuanzia 1/6/2024 mpaka 30/03/2025 yaani miezi tisa kwa miaka miwili.SGR Ukunduni was all success till SGR Dar-Dom started! In short SGR Ukunduni is a complete failure! How can a one year SGR Tanzania beat up an 8 years old SGR in Kundustan n in the year of inauguration? Damn SGR Tanzania carried around 2.5 mln PAX!
Teargass anajua ila ana troll!
Alikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!Ukichukua abiria wa 2017 na 2018 kwa Kenya bado hawafikii idadi ya abiria waliosafirisha na trc kuanzia 1/6/2024 mpaka 30/03/2025 yaani miezi tisa kwa miaka miwili.
Mpaka April tulikuwa kwenye 2.3mil bado ukiangalia kuanzia mwishoni mwa mwez wa Tano hali imekuwa mbaya sana kupata ticket, sasa treni za mpaka 7/7/2025 zimejaa zote hata Ile ibiwa ibiwa ambayo wengine tulikuwa tunafanya kukata ticket letsay mpaka Moro the unatafuta bus imekuwa nadra .Alikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!
SGR Tanzania itapita 2.5 mln PAX ukizingatia mwezi wa June hata frequencies za trains na flights ziliongezeka kutokana na mahitaji!
Politicians.Kama inatajirika wanasiasa pekee then how come Kenya has more dollar millionaires mara nne ya Tanzania yet population ya Tanzania is almost 2 twice ya Kenya?
Bila kuongeza treni trc watatutesa sanaAlikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!
SGR Tanzania itapita 2.5 mln PAX ukizingatia mwezi wa June hata frequencies za trains na flights ziliongezeka kutokana na mahitaji!
Mwaka huu tunafunga na 2.7mil mwakani lazima tuvuke 4mil, ishu mwanzoni hawakuwa wanajua jinsi ya kupata ticketAlikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!
SGR Tanzania itapita 2.5 mln PAX ukizingatia mwezi wa June hata frequencies za trains na flights ziliongezeka kutokana na mahitaji!
Unatakiwa kupewa TUZO ya kukaza FUVUTanzanian ako radhi kupingana na ripoti za serikali Yao incase it’s no favoring them😂😂🤣😂
Haswaa mwezi wa sita frequencies ziliongezeka! Yaani mwaka wa kwanza tumepindua meza tumeshafirisha abiria zaidi ya their highest numbers ever reached!Mwaka huu tunafunga na 2.7mil mwakani lazima tuvuke 4mil, ishu mwanzoni hawakuwa wanajua jinsi ya kupata ticket
Kwanza reli iingize bandarini tuanze kushushia copper Dodoma badala ya kuja kujaza foleni dar tuoneYaani mwaka wa kwanza tumepindua meza tumeshafirisha abiria zaidi ya their highest numbers ever reached!
TRC wanachelewa saana!Kwanza reli iingize bandarini tuanze kushushia copper Dodoma badala ya kuja kujaza foleni dar tuone
Anajitahidi kuaminisha anasahau hata kwa hiyo ripoti yake ambayo imecover miezi 6 bado kapigwa knockout maana mwaka wao wa kwanza waliosafirisha abiria 699,055 🤣🤣🤣 huku tz kwa miezi sita ya mwanzo tuko na 1.4 mil🤣🤣🤣🤣Unatakiwa kupewa TUZO ya kukaza FUVU
Yaan wako slow sana, we fikiria hata kuongeza treni sasa hivi wamekausha wakati abiria wamezid mzigo.TRC wanachelewa saana!
Kwanza nashindwa kuelewa kwanini pale ihumwa wasingeunganisha na Ile mgr hawa kina Azania wawe wanapakia kwenye vicontena vikifika dom vihamishwa kwenye mgr wakachukulie kigoma na isaka, yaan kwa hii miaka 3 wasije mjini kabisaTRC wanachelewa saana!