kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,413
County budget mpaka inakdilia kuwa ni bil 400 inajumuisha mpaka development expen ambayo inasomwa kwenye bajeti kuu, hizo 400 ni allocation tu za kwenye votes au sub votes
Kwahiyo school capitation ni development expenditure?🤣🤣🤣🤣🤣Wewe na hio katiba yenu ovyo huwezi elewa chochote.
In Kenya money is not controlled in state house my some obese woman 😂 😂
For example schools and hospitals receive cash for facility improvements. (Our education budget is more than the entire Rwanda budget). This is cash that is budgeted in as a never ending recurrent expenditure.
Kama uko na mmoja hajalipwa leta hapa.Na bado Kuna kipindi mnashindwa kulipa hata wafanyakazi
Hiyo hela ya county si inakuwa imeshapangiwa bajeti ambayo imejumlishwa kwenye master budget.? Au wewe unajua bajeti iliyosomwa tarehe 12 /6 haikuwa na bajeti ndogo za counties? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Clearly wewe ni mtaalamu wa katiba ya Kenya, sijui kama ni masomo ya bongoslum ama...
Neither the president nor parliament controls the county budget, not do they proclaim to include it in the national government development budget.
Once the counties get their money, they have their own 'parliaments' (country assembly) to budget for that money.
Kweli wewe ni fala. Unatuwekea taarifa za national budget alafu inasema inajumulisha za county pia? There's a reason why they are called National and County budgets.Total budget imeweka mpaka za counties. Hakuna kilichoachwa , kama unaprove ya kuwa hii 5.35usd bil haiko mpaka kwa county leta proof 🤣🤣🤣🤣
Indication ya kutoweza kumiliki nyumba inaonekana tu kwenye idadi ya slums
Si tunasubiri tuone zitaisha lini 🤣🤣🤣🤣Reminds me of a quote. ("I'm drunk, you're ugly. I'll be sober tomorrow. You?)
Nairobi has slums, which we are redeveloping fast.
Dar entire city is a slum. How do you demolish an entire city?
One Affordable Housing project alone in Kibera under construction as we speak, will house close to 1/4 of Kibera slum population upon completion.
And it's not the only project in Nairobi right now.
I can see TARMAC all over Kunya.Zima hio bangi. 😂
Your money can go a long way, but 90% of the way will be on dirt roads.
Our money goes on tarmac, so inafika mapema. 😂😂😂
Ni vizuri umeshare hii data hapa. Sasa ni hivi huo mzigo wa Uganda tunaenda kugawana pasupasu SGR ya umeme itapeleka moto huko soon 😁More and more Tanzanians continue to use Mombasa Port. Look at how Tanzanian cargo through Mombasa keeps on increasing. Also noticed how Uganda Cargo through Dar port is reducing day by day na ukiwaskia hapa vile watanyanganya Mombasa mizigo ya Uganda.
Burundi their main target with SGR can't even do 400k tonnes😂😂😂
View attachment 3393698
Kama uko na mmoja hajalipwa leta hapa.
Even at its worst, some workers were delayed by just a few days.
Inaitwa GDP per capita.Salary payment sio dev expenditure , 🤣🤣🤣🤣
Unazidi kujiabisha
Hakuna mwenye uwezo wa kununua nyumba ya 800,000 kutokea kibera buana sanasana mnaenda wauzia wasomaliReminds me of a quote. ("I'm drunk, you're ugly. I'll be sober tomorrow. You?)
Nairobi has slums, which we are redeveloping fast.
Dar entire city is a slum. How do you demolish an entire city?
One Affordable Housing project alone in Kibera under construction as we speak, will house close to 1/4 of Kibera slum population upon completion.
And it's not the only project in Nairobi right now.
Heheee per Capita ni development expenditure kwi shule yenu ni ya chini ya miti🥰🥰🥰Inaitwa GDP per capita.
If you entered an economic class, you would know that most development by far comes from private individuals not government.
Those salaries are spent developing Kenya.
The average bongoslummer cannot even afford a microwave.
Why then would a microwave manufacturer set up in TZ?
All developed countries use big buses for passengers travel nyie ndio mnatumia vipanya huko hamna standards kabisa. Thank you for confirming that only Mombasa route use big buses even though you could have at least shown us a few of these bus shades along the mombasa route.We don't have a bus culture in Kenya. Route ya Mombasa tu ndio kuna mabasi kubwa.
May be hard to understand for an LDC bongolala watchman. 😂 😂
Haha kweli inaonekana shule kwenu ni nadra.Kweli wewe ni fala. Unatuwekea taarifa za national budget alafu inasema inajumulisha za county pia? There's a reason why they are called National and County budgets.
Njoo tukufundishe uchumiInaitwa GDP per capita.
If you entered an economic class, you would know that most development by far comes from private individuals not government.
Those salaries are spent developing Kenya.
The average bongoslummer cannot even afford a microwave.
Why then would a microwave manufacturer set up in TZ?
Kwahiyo ukiajiri ni asset gani unakuwa umewekeza.
Kuna current na non current asset tutajie ajira Iko kwenye category gani ya asset
Mimi sina hata hata dollar moja laini leo asubuhi for breakfast nimegonga kahawa, yai mbili, mihogo ya kukaanga na samaki wa kukaanga, mchana nimekula biriani kuku na kushushia na juice safi ya nanasi, jioni naenda kula ugali na nyama choma. sasa niambie hapo kwa mahesabu ya IMF na WB nimetumia kiasi gani cha fedha? kuku na mayai nachukua bandani, mbuzi najivutia tuu toka kwa zizi, ugali na mchele ndio usiseme nimevuna vyakutosha, matunda nimepanda mwenyewe.IMF, World Bank, na wengine wamesoma, have come up with a standardized way to explain poverty.
Lakini wewe na sillybus ya bongolala LDC, you want to redefine the meaning of poverty? 😂 😂
A country twice our size, with half our medical workforce, paying them 1/4 the salary...
What next? You're going to tell me the sky aint blue?