Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakomoro tumekuwa tukiwabeba sana kama taifa bila kupata faida yoyote hii inaonesha Tanzania inajali undugu na utu kuliko maslahi kwanza kama jirani. ATCL inaenda uko, cargo ships zinaenda huko,wacomoro wengi Tz ni kama nyumbani tuu.
Ni vile TBS hawanaga mambo ya takwimu,ila comoro 90% ya bidhaa wanachukua TZ,hadi mkaa jamaa wanachukua kwetu aisee
 
Ni vile TBS hawanaga mambo ya takwimu,ila comoro 90% ya bidhaa wanachukua TZ,hadi mkaa jamaa wanachukua kwetu aisee
Nchi zote ambazo ni visiwa ni HEAVY IMPORTERS.

Hata hapo Zanzibar, bila bara, wanegekuwa na maisha magumu sana, kwa Chakula, nyumba za kuishi.

Gharama za maisha zingekuwa HATARI.
 
Unashughulika na Mombasa wakati Darislum imepewa Mwarabu 100%.
 
We have no intensive technology.

We have no intensive capital (Ruto mwenyewe anazurura dunia nzima huko hakopesheki.

Lakini pia hatuna control nzuri ya masoko.

Tatizo kubwa liko hapo, ndio maana Africa still exports raw materials.
how many mines does Ukunduni have? Unafikiri modern gold mines adhering to sfety n environmental standards is a walk to the park?

This is the stupid African mentality I'm talking about. Idiots will never learn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…