Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe🀣🀣🀣🀣🀣🀣 reli yenyewe mnashindwa kumaliza sembuse hicho kimji
 
bag gani na viwanda vyote vimekufa nchi haina pesa hata ya kulipa nurses mpaka ikope pesa kutoka IMf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

'Kenya bila pesa' still collects more revenue than bongolala and your LDC slum neighbors combined.

The last time the US balanced a budget was over 20 years ago.
In the same period, their GDP has almost tripled.

Show me a country that doesn't borrow, and I'll show you an uneducated bongolala liar.

Speaking of nurses:
Kenya nurses: 82,000
Tanzania nurses + midwives: 47,000

Average monthly nurse salary (USD)

Kenya: $700
Tanzania: $220

If you were to pay your employees even half of what Kenya pay theirs, your budget would have a 80% deficit.

We are not the same. Please compare yourselves to fellow low income earners in Burundi.
Our money is bigger and our problems bigger.
 
Wewe kijana nakuhurumia sana kwasababu huna unalo lijua wezee wetu walipambana sana kuukataa utumwa na ukoloni lakini nyie hadi leo hii mumeukumbatia
Hizo shida ni zako na ukoo wako. Hapa Kenya tuko sawa na hatujifosi kwa nchi zengine eti tulizikomboa ndio maana hata hao Wasauzi wanaheshimu Wakenya kuliko Watanzania.
 
Vipi naivasha malaba imeanza lini ?🀣🀣🀣
Wewe unajua phase 2 maana yake nini?
SGR phase 1 was completed on schedule.

Phase ya kufika Malaba ikianza, rudi hapa useme tumeshindwa kumaliza.
Ama ulikuwa unataka tumaliza ambacho hatujaanza?
 
Hii project niipost kabisa before waseme tunewakopi.. Gerezani BRTstation. πŸ‘‡πŸΎView attachment 3392583sahii Tupo hapaView attachment 3392582
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hii sijui mlicopy wapi, lakini si Kenya.

Nairobi Railway City when fully complete is I think bigger than our current CBD, and you're here comparing with some dingy, backwater bus-sheds with designs straight from the 80s πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Heb amka ndotoni utajinyea wewe. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…