Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta ya kwao hata kwa tochi Kenyatta na Mzee Mandela hizi harakati ndiyo kwasasa zinawauma sana baada ya kugundua kuwa walikosea sana Kipindi Mandela anafariki Jakaya alipata wasaa wakuhubia viombo vya habari kundurenda vianza kuilaumu serikali yao kuwa hawakufanya chochote kipindi cha ukoloni kuwasaidia wafrica wenzetu naona hiyo ndiyo inayo waumiza kichwa saizi na walishachelewa

View: https://vm.tiktok.com/ZNdfth4cT/ utasikia kunyan TZ tunajipendekeza kwa wasouth!
 
Kenya ni nchi ya kihuni.

Kenyatta alikuwa na mahusiano mazuri na serikali ya makaburu, na alikuwa anafanya nao biashara.

Mandela alipopata madaraka, wakaomba msamaha kinafiki tu.

Mpaka leo Kenya kwao ni pesa mbele. Hajali UTU.

Kwasasa anafanya biashara ya silaha na kundi la waasi la Sudan Kusini (RSF) na M23. Tena waziwazi, anawakaribisha Kenya kufanya mipango yao.
 
Waasi wa serikali wao wanawakaribisha Ikulu kisa blood gold yaani ni watu wa hovyo hovyo sana yaani wao wanafanya juu chini tuchukiwe na wasauzi kitu ambacho hata wao wenyewe kinawaumbua kuna wasauzi nilikutana nao pale Buzwagi mwaka 2010 wanavaa tshirt Zina picha ya mwalimu na Mandela Ikiwa na ujumbe "The true Son of Africa"
 
worse enough ni la kukodi muamala bado unasoma likiwa limepaki.
 
Trust me, no Kenyan cares about the BS you're talking about. It's interesting that it's always Bongolalas who keep pushing this BS.
 

Zamoyoni Mogella was a briliant Simba player but anyway thanks for your divisive comment😁
 
Welcome siku hiyo ndio utaona your American dream is useless. People make more money in Africa easily than anywhere else in the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…