bag gani na viwanda vyote vimekufa nchi haina pesa hata ya kulipa nurses mpaka ikope pesa kutoka IMf ππππKojoa ulale.
Ruto is in London to secure the bag as we speak.
Wacha mama atafute kura π π
wacha nicheke kwa nguvu sana hii project inafunguliwa mara mbili πππππAnother render to make Darslum sh*t bricks π π
Nairobi Railway City
- Work has already began on the first 2200 housing units on the site.
* Total upon completion - 30,000 units.
* 70 - 100 highrise towers of 24 floors each (About 10 times more than they have in Mikochini na sijui Morocco combined)
* Money is available ππ. Building capacity ndio tunakosa sasa hivi. The housing fund is overflowing.
Bongoslum hoiyeee.. Mama Tano tena π
- Prerequisite pedestrian underground tunnel weeks from competition.
- Combine Railway City + Nairobi River Park + Affordable housing, I dare say Nairobi will be unrecognizable in 5 years.
View: https://www.youtube.com/watch?v=0O_MCUGS5og
View attachment 3391815
Sisi dodoma tumeshindwa kupanda mitiiWapande miti ya kutosha hatakama ni jangwa
Kenya walikimbia labda ugumu wa maisha. Ila Nairobi ilivyojengwa, ni kwaajili ya wageni.Wengi wamerudi kimya kimya,na huko kenya sasa hivi hawatakiwi,nchi ambayo wenyewe kwa wenyewe wanabaguana hawawezi kuishi na wa kutoka mataifa mengine
Dodoma kuna program.ya kupanda miti kwa kushirikiana na JKT, TFSSisi dodoma tumeshindwa kupanda mitii
Which bag?Kojoa ulale.
Ruto is in London to secure the bag as we speak.
Wacha mama atafute kura π π
Wako wengi. Wengine wamenunua apartments Zanzibar hukoWapo wengi tu, TZ ila sisi hatuna shobo nao.
Kuna wengine waliondoka kwa kuponda ,baadaye walivyoenda huko kwingine wakaanza kurudi wenyewe kimya kimya.
TZ kuna vitu huwa wanaona uvivu kuvumilia.Wako wengi. Wengine wamenunua apartments Zanzibar huko
Americans nao ni watu wa kushikwa akili kirahisi. Wanadanganywa sana na Kiki za wakenya mitandaoni. Kuna mwingine nilikutana naye paje. Alifungua biashara Kilimani, siku moja akakuta wamempora kila kitu. Mbona yuko zenji huko. Na kanunua apartment
Si mnasemaga Tanzania ina low Internet connectivity kwenye data zenu uchwara za online.Wangekuwa Wakenya wanaambia huyu demu kwa comments aje Kenya instead of Tanzania angekuwa point of discussion bungeni Vumbistan.
Leta source yako lakini isiwe ya mama ngina news kiosk tuuIf this this is the source you believe. Basi jua hua inawaka usiku. π€£ π€£ π€£
Leading kwenye karatasi π€£π€£π€£the key is Kenya's leading....!
Source maana hata mimi naweza kuweka picha nikasema ni dispensary flani ina cath labCath lab Tenwek Hospital, Bomet County.
View attachment 3391205View attachment 3391206View attachment 3391207View attachment 3391208
hehehe alipewa mzawa tycoon ajenge
View: https://www.youtube.com/live/nleIZ_bmInU?si=e3oQUqKJ41E1VTIs
MY TAKE
Hivi jengo la abiria Mwanza airport limefikia wapi?
Ahadi ya Prof. Mbarawa
View: https://youtu.be/g5AhWZXYTvg?si=YfPg6LgYh_LaWUKm
View: https://youtu.be/HuMKB36wrdI?feature=shared
una uhakika kalipwa?hehehe alipewa mzawa tycoon ajenge
kuna nani hata anafatilia acha watu wajipigie pesa ndio maisha tuliochagua
Hawatupeleki. As you can see from the comments, Kenyans are not crying like you guys. They're just playing along. Ngoja mtu aje Tz alafu Mkenya acomment eti aje Kenya pia, itakuwa ni vilio hadi bungeni. π€£ π€£Si mnasemaga Tanzania ina low Internet connectivity kwenye data zenu uchwara za online.
Ngoja wawapelekee moto.