Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hamuwezi kuangalia movie au kusikiza radio online. downloads zako zinakuwa too slow. kufungua page pekee inachukua siku nzima.
akili kichwani
Sijawai sumbuliwa na internet ka movie ndio usiseme kabsa maana naangalia direct youtube bila usumbufu wowote saa cjajua huo upolepole ni upi unasemea kwamfano ....kudownload app hata sekunde 30 hazifiki saa cjui unaongea nn au waulze walofka tz ka tunakosa hayo uliyojidai nayo ..maana nkajua kuna jipyaa
 
hamuwezi kuangalia movie au kusikiza radio online. downloads zako zinakuwa too slow. kufungua page pekee inachukua siku nzima.
akili kichwani
Thanks bro, I was going to tell him the same thing. They keep saying we here on jf wait for free Wi-Fi before responding to their silly questions nit knowing that we are not in the same league
 
Mwaka 2017
Ulikuwa Mzuri sana kwa Tanzania
c1c9a7e6bd6a3928c6cfa9dfd4ed0d42.jpg
 
Sijawai sumbuliwa na internet ka movie ndio usiseme kabsa maana naangalia direct youtube bila usumbufu wowote saa cjajua huo upolepole ni upi unasemea kwamfano ....kudownload app hata sekunde 30 hazifiki saa cjui unaongea nn au waulze walofka tz ka tunakosa hayo uliyojidai nayo ..maana nkajua kuna jipyaa
ni vile we hupanda juu ya Mlima Kili kisha kuelekeza simu yako Kenya. waulize watanzania wenzako walioko maeneo ya kawaida changamoto wanazozipitia
 
Eti giant east Africa with 1200 millinaeres. Only.even can't reach 1/2 of Nairobi shame on u senges
Acheni data za uongo
Uku kuna millioneers wengi kuliko uko
Tz ukiwa na bil2 tu we ni millionaire
Sasa kama billionaire tunao wawili nyie hamna mnalinganisha nn
Ivi unajua pyramid na makadilio kweli wewe
 
Acheni data za uongo
Uku kuna millioneers wengi kuliko uko
Tz ukiwa na bil2 tu we ni millionaire
Sasa kama billionaire tunao wawili nyie hamna mnalinganisha nn
Ivi unajua pyramid na makadilio kweli wewe
Well,let me agree that u have many millionaires than TZ,and here is the question,lf u r 900metres ahead and ur running 20km/hr,and am behind running 45km/hr,what will happen after couples of seconds? I mean this
8c7a093b4a6cf0d2b58020a7cc565d80.jpg
 
Back
Top Bottom