ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hatujahitaji kufanya hvo kwa sasa hvi bado tunakazi nyingi za kufanya wakati ukifika tutafanya hosting na usisahau dodoma ujenzi wa kisasa uwanja utakua mkubwa wa pili africa ujenzi ushaanza na cost yake ni 100m usd😀😀😀😀😀😀😀nimeulizia mmewai host event gani kama iyo shamba ni modern?
