Mimi sio mshamba,ni mwerevu zaidi yako.
kwanza I'm older than you,I'm in my 50s while you are on your 20s.you should call me dady.[emoji23] [emoji23]
you are just a poor kid fresh from college searching for any underpaid temporary job in kenya,though unsuccessful[emoji23] [emoji23].
ujanja unaofanya leo,Mimi niliufanya siku nyingi sana hapa jf,pia nikaufanya tena mwezi October mwaka 2017.
nilimfanyia yule mkenya engineer kilaza aliyekuwa anatusumbua sana wakati fulani hapa kwenye thread yetu kwa porojo zake.
nilichonfanyia hatakaa akasahau katika maisha yake...akaamua kutoweka kabisa kwa hii thread... siku hizi anapitia kwa mbali.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]