Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mavi ya kale hayanuki bwana mdogo.. airport bora kwasasa Africa ni JNIA na ndio the most beautiful..

Unaumia.?
 
I can feel your pain
 
Mwaka huu watajinyonga Chan ndiyo itakayo wapa matokeo kuwa wameendelea au wanajidanganya maake hakuna mji nje ya Nairobi utakao host mashindano ya caf ina maana huko kwingine hakuna miundombinu inayosapoti wageni na wenyeji Failed State
Sasa Arusha itakayo host CHAN inaizidi Mombasa amabayo haitahost CHAN kwa lipi?
 
Kujisfia ujinga tu. Ulikuwa wapi vijana wa Lagos walipofanya maandamano ya End SARS?🤣
 
Yeye kibera walker anafurahi kuona mzungu mmoja alivyosema haijui Tz. 🤣🤣🤣 as if huyo mzungu ni kipimo cha maendeleo ya Tz. 🤣🤣🤣 mimi nikisemaga huyo jamaa ni likubwa pumbavu muwe mnaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…