Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
Mbona hueleweki mnyamwezi?So hayo maduka yaliyovunjwa automatically bidhaa zitakuwa redo kama kabla ya maandamano?
Uchafu wote huo kwa kuwaharibia wenzenu biashara, kisingizio maandamano.
Useless kabisa.
From "haitajengwa" to "haina ubunifu" Desperation at its bestHili box halina ubunifu wowote,bora liende 😁😁😁
4:06 .. she came close. The 4 minute barrier for women still stands . But she can still beat 99.9 % of world men in a mile ..😁Breaking 4 is a world event live on Amazon Prime video .. who’s here watching with me?… Let’s Go Faith Kipyegon!!
Kaka naona kipigo cha jana hujakiongelea kabisa au unadhani tumesahau 🤣🤣🤣🤣🤣
Achana na mambo ya diamond, kipigo cha juzi unakizungumziaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZNdyMLtYf/ looks ukunyan ukivaa jezi ya Yanga basi umeyapatia,huyu demu wa kikunya hii jezi aivui huko tiktok
And wearing Tanzanian club jersey isn't a big deal kwao, yn tumewateka vby sn. Kwenye mechi zao kubwa unapata mashabiki wana jezi za Simba na Yanga, huku kwetu hata jezi zao hatuzijui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona wanaandama na jezi za yanga tena za mwaka jana huko
Tanzania is really influencial here in East Africa.
Tanzania ni kama maji tu
View: https://www.instagram.com/reel/DLUu6kbtl2p/?igsh=MXhidTU5Y2loYm9seg==
Soka,music,chakula na ajira vyote tegemeo lao ni kwetu,kunyan bila TZ awatoboiYani ukitaka kujua wakenya tumewatawala kwenye soka angalia kavaa jezi ya Yanga na haiongelei, kwamba kama mm nivae jezi ya Man u it's not a big deal.
Umesahau Kenya kutegemea Machokoraa?Soka,music,chakula na ajira vyote tegemeo lao ni kwetu,kunyan bila TZ awatoboi
Ngoja tuwaongezee majengo hapo.Asanteni majirani kwa hili jengo..
View attachment 3385048
Ila nyinyi mmeshindwa kuongeza kwenu.Ngoja tuwaongezee majengo hapo.
View: https://x.com/JMakamba/status/1802981940594655583?t=ot1W0jN1zuX24-HawwuL6w&s=19