Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kibarua tu sababu bado anakuwa chini ya mtu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani zaidi ya nusu ya pilots Tanzania ni foreigners! Na vilaza wanapiga kelele hapa!🤣🤣
 
Mo ni ownership Iko chini ya mtu mmoja, wakati Azam kagawa kwa viwanda viko chini ya watoto tofauti ambao wote wanatumia Azam kama parent company. Ila tukija kama kwa issue ya capital Azam yuko juu
Brother wewe hapa unaongea kwa hisia tu. Tuambie investment kubwa inayomuingizia pesa nyingi AZAM ni ipi?
 
Mo ni ownership Iko chini ya mtu mmoja, wakati Azam kagawa kwa viwanda viko chini ya watoto tofauti ambao wote wanatumia Azam kama parent company. Ila tukija kama kwa issue ya capital Azam yuko juu
CompanyRevenue / TurnoverAssets & Investment Highlights
MeTL (Mohammed Enterprises)Grew from about US $30 million in 1999 to over US $1.5 billion by 2018 (en.wikipedia.org, villagevoicenews.com)Diversified across manufacturing, agriculture, finance, insurance, telecom, real estate, transport & food and beverages; operations in 11 countries, employing 28,000+
Azam Group (Bakhresa)Annual turnover of around US $800 million, employing 8,000+ directly Wide-ranging businesses from food & beverages (chocolate, ice cream, packaging), media (TV, radio, Azam TV), logistics, marine transport, fintech, real estate, hospitality, sports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…