Kenya kuna madini na Oil huko Turkana ila yanachimbwa kimagendo.Kenya hovyo sana wametoa wapi oil? Maana they count oil inayoenda Uganda, Rwanda na DRC kama exports sasa na sisi tukifanya hivyo si itakuwa 30bn. Accounting za kundudwellers ni bure kabisa