Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mkenya mmoja nilikutananae kwenye shule flani huko tanga, alikua anatoka kwao huko kuja kusoma HGL bongo, alifeli mitihani ya interview kujiunga na kidato cha tano hapo shuleni , ilibidi arudie mwaka mmoja.
Elimu yao ni hovyo sn, ndiyo mana Kenya wamejaa watu wa masomo ya arts na kidogo economics lkn wana sayansi ni wachache mno Kenya.
 
If I was to post Kenyan professors in the US , I would not have enough space here .. get a grip son ..😁😁
 
Bongolala, you don't know anything about Nairobi. Wewe unaishi Tandale uswazini miles away from Nairobi sasa unataka kusema unajua Nairobi kutuzidi sisi wenyeji?

To begin with, ofisi nyingi za Serikali zinapatikana Upper Hill (at a place commonly known as Community). I can't count the number of government offices in Community. They are just so many.

Secondly, Nairobi has like four or five business districts - CBD, Westlands, Upper Hill and Kilimani. All these places have offices (both government and private offices), all kinds of businesses and everything in between. Tell me, what would force a Nairobi resident to travel to CBD to get a vital government service when Huduma centers are spread across the city? Wewe endelea kujiliwaza na maneno huyajui
 
Jamaa ana nywele kama vile alikuwa analambwa na ng'ombe 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…